Will you marry me. .??

Mambo ya wazungu hayo. Waafrika tunapenda sana chura, yaani viatu virefu hivo na bado hakachomoki? Chura alimezwa na flamingo! 😀
 
Meanwhile, shit is going down somewhere in Africa

View attachment 696188
raha ya sinema za kiafrika wahusika hawako sirias kivile.

njemba gani ikodolee macho kidole badala ya mtutu huo. PIA mshika bastola anarembua kuitazama kamera huku kamguu ka kuku kamelenga taya za jamaa. kwanini jamaa asijitoe akili akanyakue na kumgeuza 'prey'/windo mbadala!!!

basket mouth aliwahi lutupia neno kwenye maigizo ya kiafrika. nikipata link nitatupia
dakika ya 13:01
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…