Will you Marry a lady with a Child?

Kama Zari naanza kumkataa wapi hata kama ana watoto 5, naomuoa vizuri tu.

Hahaha jokes pembeni.

I don't see any reason not to marry a single mama, if she really loves me, faithful and we are happy, fresh tu naenda kutoa mahari tu.
Because to marry a girl who doesn't have kids, doesn't not guarantee you a happy marriage.
 
Nyie mnaokataa single mother naomba muishi single na msiwe na watoto wa kike, utajisikiaje binti yako anapopata mimba nyumbani na asiolewe akudodee hapo hapo kwako maana hakuna wa kuoa single mother, chungeni sana maneno yenu ipo siku mtakuwa akina baba
 
Nawezaje kumuoa mwanamke Alie mpenda mwanaume mwngne tofaut na mm had akaamua kuzaa nae?
 
I cannot put my penis in a shit

Daaah Mungu tu akusamehe maana hujui kesho yako!
Kuwa single mother zipo sababu nyingi
na sijui wewe umejua sababu za watu wote dunia kuwa ma single mothers.
1:) wapo walio fiwa
2:)wapo walio bakwa
3:)wapo walio kimbiwa na wanaume na mmoja wa wanaume unaweza kuwa Ndiyo wewe leo hii unakuja JF na lugha za kuzalilisha.
NB: HAO UNAO WAONA HAWANA WATOTO WENGI WAO WAMETOA MIMBA NYINGI (NI MAMA WA MAREHEMU)ILA WEWE KWA KUTOKUJUA KWAKO UNAONA KAMA UMEKIMBIA CHANGAMOTO .
 
But the question is can you get married to a woman with child?



But the question is; can you marry a woman having a child??--- the answer is yes and why not??.

Assume that Woman to be either your aunt, sister,daughter, your niece or whoever she may be, would you not like her to be married only because she has a baby out of wedlock???🤣
 
Back
Top Bottom