Will never accept Zimbabwe coup: African Union

Kumbe reference yako ni ya Mange?
Hapa ni JF sio Insta...peleka hizo porojo zako za maziwa mahala husika waache wenye madini kichwani wajadili
Madini kizee kako kangolewa

Ova
 
Demokrasia haitaki hayo unayoyataka
Nikikumbuka mapinduzi yaliyo feli uturuki, raia walichangia kutokea kilicho tokea, raia waliingia mtaani kulipinga jeshi!. Uelewa wa jamii na mahusiano ya jamii na serekali/taasisi zake ni muhimu sana. Tawala nyingi za kiafrica hazipendi mahusiano mema na raia kutwa kucha ni vitisho na ubabe kwa raia!, "I wish I could be igp, mbona jeshi hamlichezei?",..................amini nakwambia jamii inayo ongozwa namna hii hawawezi kutoka na ku re-claim mamlaka yanayo twaliwa na jeshi, waturuki waliingia mtaani wakarejesha kituo cha tv na uwanja wa ndege. hebu niambie ni mtanzania gani anaye weza kujitokeza barabarani kukabiliana na mitutu ya bunduki na vifaru?. Kwakuwa ktk nchi zetu hata kuandamana nakwo ni haram isipo kuwa yale ya kuunga mkono na kupongeza tu, hivyo tegemea raia kuandamana kupongeza na kuunga mkono mapinduzi!.

Katika tawala za vitisho, ubabe na uminywaji wa haki za raia, raia wana incline wanapo amini kuwapo kwa salama yao,.............. mapinduzi yata ungwa mkono na kupongezwa kimya kimya kwa kujifungia majumbani?
 
Sasa AU ndo ushuz gani...kipindi choooote kilitoa msaada gani kwa waZimb?

Senseless !
 
Huyo Alfa konde ningekuwa karibu nae ningemtwanga konzi[emoji2] [emoji2] Yani hawa viongozi wetu wa Afrika hawana akili kabisa eti `constitution` haah!
wamwambie na huyu aliye kinyume na katiba ajirekebishe basi !!!
 
df0b316583f9bd88eb781eb9cefcf148.jpg
 
Huyo Alfa konde ningekuwa karibu nae ningemtwanga konzi[emoji2] [emoji2] Yani hawa viongozi wetu wa Afrika hawana akili kabisa eti `constitution` haah!

Constitution wakiguswa wao.Ndiyo maana sioni umuhimu wa kuwa na the so called Umoja wa AFrika,unatakiwa uabdilishwe jina uiitwe UMOJA WA MARAIS WA AFRIKA
 
Nikikumbuka mapinduzi yaliyo feli uturuki, raia walichangia kutokea kilicho tokea, raia waliingia mtaani kulipinga jeshi!. Uelewa wa jamii na mahusiano ya jamii na serekali/taasisi zake ni muhimu sana. Tawala nyingi za kiafrica hazipendi mahusiano mema na raia kutwa kucha ni vitisho na ubabe kwa raia!, "I wish I could be igp, mbona jeshi hamlichezei?",..................amini nakwambia jamii inayo ongozwa namna hii hawawezi kutoka na ku re-claim mamlaka yanayo twaliwa na jeshi, waturuki waliingia mtaani wakarejesha kituo cha tv na uwanja wa ndege. hebu niambie ni mtanzania gani anaye weza kujitokeza barabarani kukabiliana na mitutu ya bunduki na vifaru?. Kwakuwa ktk nchi zetu hata kuandamana nakwo ni haram isipo kuwa yale ya kuunga mkono na kupongeza tu, hivyo tegemea raia kuandamana kupongeza na kuunga mkono mapinduzi!.

Katika tawala za vitisho, ubabe na uminywaji wa haki za raia, raia wana incline wanapo amini kuwapo kwa salama yao,.............. mapinduzi yata ungwa mkono na kupongezwa kimya kimya kwa kujifungia majumbani?
Hakuna mwananchi anayeunga mkono mapinduzi...usidanganywe na propaganda za BBC
 
Back
Top Bottom