Will EAC’s common market deal work?

Jana wakati nasikiliza BBC waziri mmoja wa kenya akasema bidhaa zinazoingia kenya toka TZ kwa mwaka ni asilimia 145. toka UG kwenda kenya ni %125. toka kenya kuja TZ below 40%!!!!!!!! Nasikia Mambe ni kihiyo hakuna mfano. Katika hicho kikao cha mawaziri wa EA alikuwa anajikanyaga hadi wabongo wengine wakawa wanamshangaa. Kama TZ ikipata matatizo kupitia common market basi asili yake ni Membe
 

itikadi na sera ni vitu viwili tofauti kwa jinsi ninavyoelewa. sera iko ndani ya itikadi. ila nitakuwa mchoyo kama sitawapa wakenya 'tano'. kwa namna fulani wana nia ya pamoja juu ya nchi yao tofauto na sisi na ndio maana hata kilimanjaro na serengeti wanasema ni zao. si kos lao bali ni juhudi zao kama taifa. tunachoomba watz- ardhi yetu TUSIDANGANYIKE!!!
 
Smatta, well wa-Tanzania wapo wahalifu kibiashara lakini wa-Kenya ni wengi zaidi wanaopenda short-cut like most nigerians this are the facts, lol naona unaingiza ushabiki wa albinos shame on you

unakumbuka mauaji ya mungiki, na ya uchaguzi within one months mnachinjana wa-kenya kama mtu anavyomchinja mbuzi damn nyie ni wanyama kabisa..na so greedy..

having said that mnapata favour za western media kwasababu kuna wazungu pale wanawanyonya nothing more vizuri kama ilivyokuwa zimbabwe zamani wakiachia mnaanguka kwa pua trust me!..lol

Kuhusu biashara nawaambia wa-Tanzania nendeni kenya kwa wengi mfanye biashara tuna-beat kwa mbali sana...washindani wetu kwenye biashara kenya siyo wakikuyu wala wajaluo No No at all ni wasomali those are ahead..ni wanjanja sana

my worries ni kwamba tukisha establish business wanaweza kuanza mambo kama ya south africa..mungiki style kwasababu uwizi na ubabe ni hulka ya wakikuyu na wajaluo..hakuna nilichojifunza kutoka kenya kwa biashara so far...inabidi uwe very careful kwasababu..ni watu ambao ni hungry for short cut and earn quick..take my words...
 

Smatta, I always tell kyns pamoja nawe pia, dont be confined in discussing things. Which research has been done showing that you are very hardworkers in africa. Dont bring story za mitaani hapa we need the facts and figures. Give us the emperical things to backup your argument, that's pure and simple.

What we know is that kny is good in win-lose approach in protecting her citizens, particularly the marginalized one. The good examples are eviction from msitu wa Mau, killing of Mungiki, impunity (mzungu anaua raia mara mbili halafu anaachiwa). You have a very bad record on human right. and the most corrupt nation in the region. see http://www.transparency.org/policy_research/surveys_indices/cpi/2009/cpi_2009_table

Focusing matters in narrow perspective is your major problem. Hata saa hii mtu akisema kny maisha ni magumu kuliko tz, utasikia wanajibu, but nairobi hill has a lot of nice buildings, roads etc, and Dar economy is just a half of nairobi. they forget that nairobi is not representing entire kny, it's comprising only a fraction of the country beneficiary. They foget what is up in the rural areas where people have nothing to eat, drink, no school, no hospitals etc. But you will hear smatta saying we are good in queen's language, that's rubish. i've been in quuen's land for quit sometimes, but i never heard a person is proud of speaking or mastering the luo, luya, kikuyu or any afro-venacular. that's weakeness. stop being good example of the impact of colonialism. it's not good at all.

Lastly smatta, kindly, give me your view on the socialistic-market economy, and how can it be cultivated in country like kenya?

I think will be a good start of principled negotiation which will help us to focus on the interest rather than positions or bottom lines.
Alam-siki
 
Bongolander,
Kwanza I find it hard to believe kuwa kikao cha mawaziri kinaweza kupitisha uamuzi ambao hauendani na utashi wa rais Kikwete. Kama mawaziri wa Tz walikubaliana kuwa tusisaini hayo makubaliano, Kikwete alikwenda Arusha kufanya nini?

Kuhusu common market mimi ni proponent namba wani. We have more to gain as a single market than we have as patches of markets, the fact that Tanzania is the market notwithstanding. Tusitizame ushirikiano kama mambo ya kukompete lakini kama njia mojawapo ya ushirikiano. Tanzania may be in a weaker position marketwise but hata tusipoungana na common market at the end of the day we will still be weaker. Na I don't subscribe also to the notion that the Kenyans are coming to take our jobs away as it is for those who claim that they are coming to take our lands away.

Let us unite. More opportunities lie ahead as a united people rather than kila mtu na lwake lwake.
 
Kwa mtazamo wangu hatuwezi kunufaika kutoka kwenye EAC, SADC na hata WTO kama hatujajipanga. Kitu muhimu sana ni kujua agenda yako out of that ushirikiano. Kama kuanzia mwanzo tumekuwa tukishiriki majadiliano na hatimae kusign makubaliano tukiwa hatujui tunataka nini kutoka kwa ushirikiano huu then tumekwisha!

Kwa mfano Kenya wanajua agenda yao kwenye jumuiya hii ni ardhi, Rwanda wao wanataka kuji associate na amani na soko la ICT maana wanajaribu kuwa ICT hub, Museven he is in for power na pengine ile agenda ya kurudisha empire... nk nk sasa sisi watanzania agenda yetu ni nini? siamini kama inatakiwa kuwa ni siri ya serikali maana watekelezaji ni sisi wananchi, ni vyema agenda hii ikawa wazi kwa watanzania wote na maandalizi yafanyike kuhakikisha inatekelezwa kwa ufanisi. Economic take off inategemea na jinsi nchi itakavyochangamkia na kutumia ipasavyo fursa zinazopatikana kutokana na biashara huria na utandawazi, vinginevyo tutabaki kulalamika kila siku which is childish! kama mwenzako ananufaika na makubaliano uliyoingia kwa hiyari, kuegemea ukutani na kuanza kulia ni utoto, tunatakiwa kuchukua positive steps.

Siamini sana katika takwimu za IMF juu ya umasikini wa nchi pamoja na tafsiri yake, cha muhimu sio nchi ni ya ngapi kwa utajiri au umasikini kwenye orodha ya IMF, kwangu mimi muhimu ni welfare ya wananchi. Kusema Tanzania ni maskini kuliko Kenya ni theory lakini what is happening on the ground ni kwamba we are swimming in the same pool ya umasikini - huduma duni za afya, maji, miundombinu nk nk ni sawa na watu waliofeli mtihani wakitambiana kwamba mimi nimepata 12 wewe umepata 10 out of 100 so wa 12 ajione kafanya vizuri - kimsingi wote wamefeli!

Forum hii sio ya wanasiasa, hatutumii takwimu kuomba kura kwa wananchi, lets think and share mawazo yetu ya nini tunadhani kifanyike kwa manufaa ya wananchi wa nchi zote. Manufaa yanayoweza kupatikana kutokana na ushirikiano wa kiuchumi yako well documented, uzoefu wa ushirikiano wa aina hii tunao, tujifunze kutokana na makosa yaliyowahi kufanyika huko nyuma na tusonge mbele
 

Berlin conference boundaries zimetuchangaya ile mbaya.Msimamo is/should be -i dont love Kenya/Tanzania/Uganda/Rwanda/Burundi any less I love EA more.
 
Eliakim well said ndugu,
Hawa jamaa hamna kitu wako so desperate na hungry kupata mali yaani greedy nenda pale kibera, internal displaced people mpaka leo baada ya kuchinjana hakuna solution nini sababu..greedy politician gosh!

Kuhusu biashara nakwambia kenyans wanasiasa wanatuchelewesha watuachie tuingie huko tunawapiga challi hawana lolote ujambazi ndio kitu utajifunza kutoka kwa mjaluo na mkikuyu biashara tunawapita sana trust me...nimefanya nao deals jamaa ni watu short cut na wezi..in long run hii siyo sustainable..lol

Kitu muhimu kufahamu hapa ni kwamba wanaotaka community si wa-kenya wazalendo hao hawana chochote ni hayo makampuni yao ya wazungu wanataka kusije tokea zimbabwe problem ya wazungu kunyang'anywa ardhi na wazalendo wakenya maana kuna unfair land distribution ndio maana wanataka land ya TZ kwa sanaaa..ili wananchi wao wahamie bongo kwa kasi....na biashara zao ziwe na soko kubwa...is a second agenda

All in all hata kwenye hiyo biashara twendeni kenya tuchukue biashara with Tanzanian spirit of honest and trust tutapata wateja wengi wa-kenya ambao wamechoka na upuuzi wa their fellow country man ambao ni wezi na majambazi maana kenya "kurusha mtu ni kama sifa vile" yaani ni deal so SAD with altitude bad indeed..partly wameambukiza watu arusha kina lowassa (sic)

Washindani wetu kenya ni guys from somalia (kenyans of somali origin) wanaweza kutusumbua ni wajanja zaidi achana na hao majambarika hamna kitu cha maana kwao kujifunza kwenye business ..call a spade a spade ni mijitu ya misifa misifa tu na ki-englisha chao..colonial mentally inawasumbua sanaaa..
 
Berlin conference boundaries zimetuchangaya ile mbaya.Msimamo is/should be -i dont love Kenya/Tanzania/Uganda/Rwanda/Burundi any less I love EA more.
kweli kaka...dunia yote iwe moja binadamu afaidi apendavyo kwa kutumia akili yake...na maarifa aliyonayo..lakini watu wengi wanajigamba zaidi kutokana na mipaka na makbila yao shame
 

Hilo ndilo jambo ndugu yangu Tumain,
from the best of my knowledge, the eac formation is the pressure from otside, the other way around of Berlin conference. Coz i dont think if in east africa we have a big multinational company to provide goods and services to more than 120 million people, that is a very huge market. This is a deal of big nations, the western stars. now look, the microsoft company has started to advert its products to the region, under the slogan of ''one computer for pupil''. Sisi wala si targeted beneficiaries, the accrued benefits by eac people will be as by product or as coincidence, not planned. Hayo makelele ambayo tunapiga, sijui kenya na wengine watafaidika, that is not the case, hawa wakenya na wengine watakuwa kama fisi anavyonyemelea kwa simba akikamata mawindo, yeye atafaidi mabaki ya mifupa, lakini simba ndiye atafaidi minofu, they are just the opportunists. wengi biashara zao ni ndogo ndogo na inabidi waitwe wachuuzi na si wafanyabiashara.

So kitu cha kufikiria is, these ''i call outsiders, have the strategy toward eac, now what strategy do we have (as individual territory or as the entire region) to the outsiders? becoz, they are going to bring their capital in ea. now we need to ponder on how to prevent these capital to go back exponentially. to make sure these money reside in the bloc for the betterment of the majority who are poor, who dont know how human being is supposed to live. to make sure a win-win situation prevails, and not win-lose which is prefered by these westerners since time immemorial, "refering the book how europe underdeveloped africa by walter rodney". this is very big challenge.
i would like my friend smatta and nomasana to take it.


Kuhusu ardhi, we have a best arable land mass in the bloc, most of it not registered in our registry and cadastral system and even fully utilized. Other pieces of land are not owned by any body (i mean the right to use, coz we know whether occupied or not all land is a public land and vested to the president as a trustee, L. A, No. 4 of 99 s. 5). This is also, the reason why our neighbors e.g kenyans shouting on the fast track of eac thinking to get some of our lovely land. But as i explained above, is the benefit of by the way to them. they are not beneficiaries as per outsiders plans. refer the above e.g of fisi.

Wanataka ardhi ili wawape watu wao ardhi, hawana kabisa ardhi . Ona hapa.
http://www.nation.co.ke/News/-/1056/802290/-/vmtwja/-/index.html


However, we thank our government, had said no to incorporate in eac the land, id for passport and permanent residence. Tz imesema hapana i.e pure and simple.

Kwa heri.
 
Ok, nikitoa dukuduku langu. Kwanza, ni kweli wakenya ni aggressive (ingawa hamna ubaya wowote hapo). Kuhusu kuwa businessmen, nadhani tuwe careful tunapomlabel mtu businessman, especially kama tunaangalia jinsi tutakavyokuza pato la region hii, na kukuza ajira. Je biashara imesajiliwa? Analipa kodi za ushuru, ajira, kipato? Biashara ina bank account? Hayo ni machache. Kuna aliyesema Wakenya wengi wanaokuwa-labeled kama wafanyabiashara huko Congo, Sudan nk. wanaweza kuwa si wafanyabiashara in the sense kwamba nchi yao haifaidiki kwa asilimia kubwa na shughuli zao (zaidi ya hela ya wanayotuma kwa familia zao).

Nadhani watanzania tusiogope kabisa hii, if anything, tushangilie. Ukiwa na nidhamu ya kazi na pesa, na jaribu kuwa creative in terms of type of business and style of operation, there is a fortune to be made out there. Kama mwingine alivyosema, huko huko Kenya, ukienda na ukiwa honest, na bila kutaka kutengeneza hela za harakaharaka kwa kudanganya na kuweka profit margin ya 200% kama tunavyofanyiana hapo Bongo, utachukua hata wateja wao. Zaidi usionyeshe ubaguzi wa aina yoyote. Kuwa tayari kuajiri hata wakenya/wanyarwanda etc., and that's another thing nilitaka kuongelea. Nadhani ili upate appeal nzuri katika region yote, ni muhimu kuchanganya wafanyakazi kutoka katika kila nchi, especially kama utaoperate kwenye nchi hiyo. Hiyo itakupa si tu inside information ya tabia, mienendo ya watu hao ili kujua jinsi ya kuwavutia wawe wateja wako, information ambayo otherwise usingekuwa nayo.

Mimi niko njiani. Nilishaiset akili yangu kufikiria east-african-wide, if not african-wide business ideas kwa miaka kadhaa sasa, I think I'm ready. Siku njema.
 

mkuu,
wewe ndiye ulikua unalalamika watu wasiitukane kenya hapa,leo unasema wanaokataa EAC ni wenye akili finyu.

Tangu lini nyang'au akawa mwerevu kuliko binadanu?

Heshimu maamuzi ya watu,siku ukiitukana Tanzania nami nitakutukana i'll make sure that i do whatever i can do to impart the sanme feelings in you.Respect wakuu na samahani sana!
 
Mtu anisaidie. Sijaelewa mpaka leo kwa nini hii Federation inazidi kulazimishwa. Tueleweshwe ili tusije tukachukua sheria mkononi hapo baadaye. Watanzania 80% walisema hawataki, wakuu wa nchi wameelekeza tena kuwa watu wafundishwe, wafundishwe nini! Kuna mchangiaji alisema kuwa mafisadi wanataka kujificha kwenye Jumuia, mi naona yuko sahihi, na ndilo jibu. Sipati picha hata kidogo! Tufanye biashara tu, it hurts nobody, hii miungano ni uhaini and it will backfire hakyanani. Waliopiga kura ni watu wazima, si watu wa kufundishwa vitu viko wazi. Asilimia 3 ya waTZ walisema hawataki, hata bila kuulizwa, imagine, bila kuulizwa! Swali lilkuwa iwapo kuna haja ya kuharakishwa muungano!
 

Pole mkuu, my intentions were not to hurt any person, I was just stating my feelings on you guys, which may or may not be true, na naheshimu maamuzi ya watu, siezi taka hii thread ifungwe, so I will resist the urge to hit back on that nyangau blow and take a bow on this one.
 
Asilimia 3 ya waTZ walisema hawataki, hata bila kuulizwa, imagine, bila kuulizwa! Swali lilkuwa iwapo kuna haja ya kuharakishwa muungano!

labda waje waone mfano ya hawa wakenya wanavyolilia huu unyonyaji wa asset zetu upitishwe. Huwezi fanya biashara yoyote ya maana kenya na wala huwezi invest chochote kenya hamna ardhi ya mchezo.

Serikali yetu tu imeamua kuwanyima haki watanzania wajao, huyu kikwete ni masifa sana. na wenzake wanamlamba kisogo aiuze tanzania yes anaeenda kuiuza tanzania yaani ina uma SANA. tatizo wamekaa juu muda mrefu sana na hawana qualifications za kuongoza nchi kutoka hawataki, wanadhani short cut ya muungano itatusaidia. kinacho uma zaidi watanzania millioni 40 hawana say on all this bullshit.
 

Juma Contena ndugu yangu, everyone has a say in everything that happens in his life, it just depends with the choices provided. there are a number of things you can do to show your dissatisfaction with the decision the gvt has made: you can organise protests country wide to oppose the community, you can boycott public holidays and form protest rallies, there are alot of things that you can do to show the goverment that you oppose its decision, but to tell you the truth, you (note* Tanzanians) wount because its not in your genetics, nyinyi ni 'wastaarabu' (note the quotes) sana, so in reality, you have no choice but to wait for the leaders to sell your country to the highest bidder, coz your civil society is dead. BUT WHAT DO I KNOW?
 
Wacha manyang'au waje this time tutawaonyesha njia tena nzuri sana. Tanzania is not for sale at any price and those who think they've won should look behind the mirror and see the real Nyang'au.
 
Wacha manyang'au waje this time tutawaonyesha njia tena nzuri sana. Tanzania is not for sale at any price and those who think they've won should look behind the mirror and see the real Nyang'au.

hahahhaha.. Inshallah kaka, Inshallah. Lakini tumekubaliana kabisa twaja, tushafika.
 

The issue mkuu is not ustaarabu trust me, its rather of an ignorance one watu hawaelewi what these policies mean to them in the long run. Ndio maana unaona a few of us raise the concerns.

Let me tell you personally nadhani the EAC is not a bad thing. kama watu watakuja kuinvest from anywhere we have to make sure watanzania wanatapata a majority of the labour. For instance you can come and take advantage of the real estate market, but i insist all the builders or a majority are tanzanians. It should give us the benefit in improvig peoples lives. What i object is total integration hii ndio itawaumiza watanznaia wachini. Leo uje ujenge magorofa yako na sijui architectures wako, contructors wako na sijui tena wapanga matofali waanze kugombea kazi na wakenya.

what is the point of being a tanzanian if your own country can no protect you. You see, the issue is not amani but ignorance these people cannot see the future implication. So if t'morrow i where to arrange that march a few would turn up, not understanding the real point of it.

But trust me when the time comes and they begin to compete hapo ndipo utaelewa atuna amani as you think, its just we hadnt been pushed.
 
hahahhaha.. Inshallah kaka, Inshallah. Lakini tumekubaliana kabisa twaja, tushafika.

The parliament hasn't ratified and believe me they will not as our election is around the corner, but either way we are here to deal with nyang'aus.

You continue to be happy down town Dar as you will never have the type of life you left at Kibera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…