Wilibrod Slaa: Katibu Mkuu adimu kuwahi kutokea CHADEMA

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Ukijaribu kuitizama nafasi ya ukatibu mkuu ndani ya CDM tangu ang'atuke Dr slaa imepwaya hata sasa.

Mara zote mdomo husema chochote,kiwe kweli ama uongo lakini nafsi husema ukweli daima, mdomo unatabia yakuongopa lakini nafsi kamwe,nafsi ya binadamu haijawahi kupinda.Ili kuelewa hili inahitaji uwe na uelewa wa ziada.

Hapa nataka kumaanisha kwamba wapo watu wanao paza sauti zao kwamba Dr Slaa si lolote si Chochote lakini ni imani yangu sauti zao na nafsi zao hazizungumzi lugha moja.Kwa vyovyote nafsi zao zinawapinga kwani ni dhahir tangu nafasi hio iachwe na Dr Slaa na kukaimiwa imepwaya hata leo.

Hapa simaanishi kwamba pengo la dr Slaa haliwezi kuzibika,laa hasha,ila mpaka sasa bado pengo lake linaonekana wazi.
Na ndio maana nimewiwa kusema kwamba Dr Slaa ni katibu mkuu adimu kuwahi kutokea CHADEMA mpaka pale atakapopatikana mtu mwenye walau utendaji kazi wakufanana na yeye.

Tena hapa niweke wazi kwamba huyu Sumaye ambaye anatajwa kuvivaa viatu vya Dr Slaa kama ni kweli basi mguu utafutiwe kiatu kingine hiki sio saizi yake,mguu wake ni mdogo sana wakati Dr alicha kiatu kikubwa hivyo kitampwaya.
 
Mkuu unaeza kua sahihi au siyo sahihi.
Kwanza kabisa comparison can not be made to a single entity but for two or more entities. Ukisema haezi tokea wa kufanana na Silaa unakosea labda ungesubiri kwanza achaguliwe mwingne tuone utendaji wake ndio tulingalishe.

Kuhusu nafasi kubaki wazi mda mrefu sijui maana sijajua taratibu za Chadema katika chaguzi zao za viongozi, kama wajua tujuze na kama hujui basi tusubiri waje wajuzi watujuze mkuu.

Sumaye kweli twamjua kwakua tulishaona utendaji wake akiwa waziri mkuu, ila tambua hata JPM wengine tulimpuuza na kumdharau kuona hatakua na jipya akiwa rais, lakn Leo hii hakuna tunamheshimu na kumuona kiongoz bora kama JPM, Mimi kila nkiwaza utendaji wa JPM nasikia amani na kuipenda tena nchi yangu japo ni ukawa damu.
Tusubir tuone mkuu!!!
 
Wenyewe washaamua eti Katibu mkuu lazima atoke tena Kaskazini kwavile eti wao Kaskazini wametoa wabunge wengi kuliko kanda nyingine,Sumaye ndiye anayefikiriwa.
 
Rudia kusoma tena vizuri,nimesema adimu nikimaanisha haba si hakuna,sijasema hatopatikana kamwe,ila nimesema tangu aondoke wapo wanaokaimu lakini kiutendaji kwakulinganisha na utendaji wa slaa bado.
 
Chama ni taasisi ambayo haitakiwi kutegemea mtu mmoja ktk kujiendesha kwake kwani huyu mtu naye hakuumbwa aishi milele,hivyo basi Chadema kikiwa makini kinaweza kumpata Katibu ambaye ni mtendaji mzuri na mahiri kuliko aliye kuwepo awali.
 
Wenyewe washaamua eti Katibu mkuu lazima atoke tena Kaskazini kwavile eti wao Kaskazini wametoa wabunge wengi kuliko kanda nyingine,Sumaye ndiye anayefikiriwa.

Sumaye Mr. Zero (0)!!! Kwenye kampeni alikazana kuzungumzia watu na matukio badala ya masuala (issues) yaliyohusu agenda ya 'mabadiliko' iliyobebwa na UKAWA!!! Mh!
 
Hata watakaokuponda kwenye mada yako hii, watafanya hivyo kwa sauti ila nafsi za zinaamini katika mada.
 
[Wenyewe washaamua eti Katibu mkuu lazima atoke tena Kaskazini kwavile eti wao Kaskazini wametoa wabunge wengi kuliko kanda nyingine,Sumaye ndiye anayefikiriwa.]

WEJAMAA NI PUNGUWANI WA AKILI. NYAMAZA MNAFIKI MKUBWA. MJADILI MAMA YAKO KM HUNA LA KUJADILI HUMU.
 
Ni ajabu Magamba ya Lumumba na masalia ya ACT-wasaliti kujadili katibu mkuu wa CHADEMA wakati makamanda wenyewe wa CHADEMA wanasubiri vikao halali vya chama vikae kumteua katibu mkuu! Nachoka sana kwa kweli.
 
Mkuu unaeza kua sahihi au siyo sahihi.
Kwanza kabisa comparison can not be made to a single entity but for two or more entities. Ukisema haezi tokea wa kufanana na Silaa unakosea labda ungesubiri kwanza achaguliwe mwingne tuone utendaji wake ndio tulingalishe.

Kuhusu nafasi kubaki wazi mda mrefu sijui maana sijajua taratibu za Chadema katika chaguzi zao za viongozi, kama wajua tujuze na kama hujui basi tusubiri waje wajuzi watujuze mkuu.

Sumaye kweli twamjua kwakua tulishaona utendaji wake akiwa waziri mkuu, ila tambua hata JPM wengine tulimpuuza na kumdharau kuona hatakua na jipya akiwa rais, lakn Leo hii hakuna tunamheshimu na kumuona kiongoz bora kama JPM, Mimi kila nkiwaza utendaji wa JPM nasikia amani na kuipenda tena nchi yangu japo ni ukawa damu.
Tusubir tuone mkuu!!!

Unamfurahia JpM kuua utawala wa sheria??!!
 
Mkuu umekua ukawa toka lini? Jpm amefanya nini ambacho labda ni cha pekee .Serikali ikiweza toa huduma ya afya kwa wananchi sioni haja ya kuipongeza lakini ikiweza kuwajengea wananchi wake makazi ya kisasa na bure hapo nitaipongeza maana iko ni jukumu binafsi.
 
mkuu umenilazimisha kucheka. mr. zero! for secretary!

Wenyewe washaamua eti Katibu mkuu lazima atoke tena Kaskazini kwavile eti wao Kaskazini wametoa wabunge wengi kuliko kanda nyingine,Sumaye ndiye anayefikiriwa.
 
Hili zuzu vipi???
Mbona tangu Dr mihogo atimue Chadema haijachagua katibu mkuu!!!!!
Ama katibu mkuu aliyepwaya Ni wa chumbani kwako????
 
Mkuu chadema inapotea kabisa,laana ya slaa inatumaliza kwa kumpokea mwizi na watu waliokulia na kuzeekea ccm na kisha kuwaita mashujaa wa mabadiliko,tunajikongoja tu na kutegemea matukio ndio tuonekane,
 
Chama ni taasisi ambayo haitakiwi kutegemea mtu mmoja ktk kujiendesha kwake kwani huyu mtu naye hakuumbwa aishi milele,hivyo basi Chadema kikiwa makini kinaweza kumpata Katibu ambaye ni mtendaji mzuri na mahiri kuliko aliye kuwepo awali.

hata siku moja hawezi kuwa kama Babu Slaa
 
Back
Top Bottom