LordRapaar
Member
- Jan 3, 2025
- 31
- 26
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli.
Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika kura na maoni za UWT, mbunge wa Kondoa alipewa kazi ya kusafirisha wajumbe kutoka maeneo yote kwenda eneo la kupigia kura.
Kwenye mabasi walijaa vijana wake ambao walikuwa wanagawa pesa na kuwashusha kwenye Basi wale wote ambao hawatakiwi na mbunge.
Hata katika biwanja bya kura mbunge aliendelea kugawa pesa waziwazi mbele ya biongozi wa CCM, Polisi na TAKUKURU. Watu wake wote walishinda. Na amesema atafanya hivyo katana ka chaguzi zote kwa sababu pesa ya kutosha anayo.
Sasa tunakwenda wapi jamani. TAKUKURU Kondoa, Polisi, Usalama huku Kondoa hazina kazi.