Wilaya ya Kinondoni UKAWA msijeleta visingizio

Wilaya ya Kinondoni UKAWA msijeleta visingizio

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,477
Wilaya ya kinondoni inaundwa na majimbo manne(4),kinondoni,kawe,kibamba na ubungo..uchaguzi mkuu wa 2015 ushapita,katika wilaya hii majimbo yote manne yameenda ukawa,matatu wamechukua chadema na moja cuf..katika jimbo la kawe kati ya kata 10,ccm wamepata 5 na ukawa 5,na katika jimbo la kibamba kati ya kata 6 zote zimeenda ukawa,majimbo mawili sijajua bado,,,mantiki yangu hapa ni kwamba,bila shaka wala kificho jiji la dsm litakuwa chini ya harimashauli ya ukawa,na wilaya ya kinondoni itakuwa chini ya halimashauri ya ukawa.sasa sisi tunahitaji maendeleo jiji la dsm,hatutaki visingizio kabisa wala hatutaki kusikia kuna harufu ya ufisadi imetokea kabisa
 
Tunataka viwanda! Mlipokuwa mnaahidi mlidhani tutasahau?
 
Tunataka viwanda! Mlipokuwa mnaahidi mlidhani tutasahau?

Mleta Mada ameleta jaribu kuu linaloukabiri umoja wa UKAWA katika mkoa wa Dar es Salaam. kwa mara ya kwanza wataendesha Halmashauri, Uongozi wa msingi kabisa katika Taifa. Masuala ya viwanda ni mipango ya maendeleo ya Kitaifa, lakini halmashauri zina mipango kazi, maendeleo na utekelezaji wa sheria zinazopangwa na madiwani wenyewe.

Ukawa kwa Dar es salaam, nguvu ya kupata uongozi imetokana na vijana, mama ntilie, bodaboda, machinga ambao wanakwazika na sheria zinazotungwa na mabaraza ya madiwani wa halmashauri wakiwa na mategemeo sasa zitalegezwa na kuruhusu wafanye biashara zao kwa namna WAITAKAYO WAO na MAHALI WAPATAKAO WAO ikiwezekana pasipo KUSHIRIKISHWA katika KUCHANGIA USHURU kwa ajili ya maendeleo ya halmashauri.

Jiji la ilemela hii ni moja ya sababu ya kulipoteza, baada ya kuwa chini ya upinzani kwa muda lakini hawakuona mabadiliko katika kero hizi kwani bado waliendele kukumbana nazo na sasa limerudi CCM
 
Mkuu siyo wilaya ya kinondoni pekee hata wilaya ya Ilala UKAWA kata-21 CCM-15 usisahau na wabunge nao wanaingia kama wajumbe wa Baraza la Madiwani.
 
Wilaya ya kinondoni inaundwa na majimbo manne(4),kinondoni,kawe,kibamba na ubungo..uchaguzi mkuu wa 2015 ushapita,katika wilaya hii majimbo yote manne yameenda ukawa,matatu wamechukua chadema na moja cuf..katika jimbo la kawe kati ya kata 10,ccm wamepata 5 na ukawa 5,na katika jimbo la kibamba kati ya kata 6 zote zimeenda ukawa,majimbo mawili sijajua bado,,,mantiki yangu hapa ni kwamba,bila shaka wala kificho jiji la dsm litakuwa chini ya harimashauli ya ukawa,na wilaya ya kinondoni itakuwa chini ya halimashauri ya ukawa.sasa sisi tunahitaji maendeleo jiji la dsm,hatutaki visingizio kabisa wala hatutaki kusikia kuna harufu ya ufisadi imetokea kabisa

Ndiyo maana Bomoabomoa imeanza,kwakuwa ccm imekataliwa huko,shida.
 
Back
Top Bottom