Wilaya ya Kilwa yakosa umeme

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Wakuu nipo wilayani Kilwa toka jana kuna tatizo la umeme haupatikani takribani wiki sasa.

Kwa mjibu wa wenyeji wangu nimelezwa kwamba wana mda wa zaidi ya siku 7 wakiwa hawana umeme huku wakiwa hawafahamu nini chanzo cha tatizo hilo.

Ndugu zetu Tanesco hebu msiturudishe mwaka 47 jaribuni kuwa utaratibu angalau wa kutoa maelezo nini kinachojiri.
 
Back
Top Bottom