Wilaya masikini

Wilaya masikini

Mkuu ndio haswa nia yangu ili mantiki yao ya wilaya maskini ife. It was sarcasm. Nimetaja hizo wilaya kwa makusudi . Zote zipo chini ya CCM chama kubwa.

Nchi hii sio ya CCM ni ya watanzania,CHADEMA,CUF na NCCR wana majimbo yataje tuone mkuu usizunguke mbuyu!
 
Wadau hebu naomba msaada wa hili swali,kwa nini wilaya zote masikini nchini Tanzania majimbo yake yanaongozwa na CCM??.
Halafu tufahamishe na Wilaya tajiri zinazoongozwa na Chadema.
 
ww naona hujatembea hi nchi mikoa ya kanda ya ziwa na kaskazini ipo vzr kdgo,NDUGU KUNA MIKOA YA PWANI,LINDI,MTWARA,RUKWA, SINGIDA,TABORA,SHINYANGA,PWANI,DODOMA. Ni hovyo kabisa

Ua not serious,Kwa hiyo una maanisha nini mkuu unaposema mikoa ya kaskazini na kanda ya ziwa ipo vizuri kidogo na sio sana? Kwani wewewatokea mkoa gani?
 
it does1nt matter nimetokea mkoa gani bt kama umepata nafasi ya kutembea mikoa mingi ya Tanzania utakubaliana nami mikoa ya kaskazini ina unafuu tofauti na mikoa niliyokutajia.tafuta hata nyuzi humu Jf zipo
 
Ruvuma, Songea, Ileje, Chunya, Sumbawanga, Mpanda Vijijini, Kwela,nk
 
Back
Top Bottom