threadcritic
Member
- Jul 12, 2011
- 27
- 1
Mimi bado niko kwenye Cable kwenye page 5 nafkiri na jamaa wanazungumzia walivyotuhonga ili kuweza kupata AFRICOM japo bado I;m still trying to disseminate the cable data regarding article 98
Halafu inaonekana kumbe Foreign walikuwa na watu ma competent kama balozi LIBERATA MULAMULA maana nasoma exchanges na hawa hjamaa regarding HAMAS, IRAN, IAEA, SUDAN, na mengineyo...it looks like she never gave these Americans any carte Blanche
That can also be said of Aha Migiro alipo wa tell off siku za mwanzo alipoingia Foreign.Lakini pia inaonyesha kuwa its not as easy as it looks kule foreign ambako kuna kazi nyingi na hasa Tanzania inapokuwa kwenye Security Council and the pressure tunayopata toka kwa hawa jamaa ni ya ajabu sana na hasa hii ya airspace yetu na hiyo Article 98.
Lakini pia I sence some sort of arrogance na superiority complex ambayo wanaileta kwa ma ofisa wetu wanaodeal nao na wanapokutana na waliokuwa wameenda shule vizuri huwa wanashtuka sana na hasa wanapopewa demarches zisizo wazi toka kwetu
mie niko page 5 out of 14 of the cables
SUBJECT: AFRICOM CIVIL AFFAIRS TEAM'S SUCCESS ON THE SWAHILI COAST REF: A. DAR ES SAL 236 ¶B. DAR ES SAL 235
Cable Viewer

Liberata MulamulaMimi bado niko kwenye Cable kwenye page 5 nafkiri na jamaa wanazungumzia walivyotuhonga ili kuweza kupata AFRICOM japo bado I;m still trying to disseminate the cable data regarding article 98
Halafu inaonekana kumbe Foreign walikuwa na watu ma competent kama balozi LIBERATA MULAMULA maana nasoma exchanges na hawa hjamaa regarding HAMAS, IRAN, IAEA, SUDAN, na mengineyo...it looks like she never gave these Americans any carte Blanche
That can also be said of Aha Migiro alipo wa tell off siku za mwanzo alipoingia Foreign.Lakini pia inaonyesha kuwa its not as easy as it looks kule foreign ambako kuna kazi nyingi na hasa Tanzania inapokuwa kwenye Security Council and the pressure tunayopata toka kwa hawa jamaa ni ya ajabu sana na hasa hii ya airspace yetu na hiyo Article 98.
Lakini pia I sence some sort of arrogance na superiority complex ambayo wanaileta kwa ma ofisa wetu wanaodeal nao na wanapokutana na waliokuwa wameenda shule vizuri huwa wanashtuka sana na hasa wanapopewa demarches zisizo wazi toka kwetu
mie niko page 5 out of 14 of the cables
SUBJECT: AFRICOM CIVIL AFFAIRS TEAM'S SUCCESS ON THE SWAHILI COAST REF: A. DAR ES SAL 236 ¶B. DAR ES SAL 235
Cable: 09DARESSALAAM868_a