Wikiendi ni mtego. Itakushangaza

Wikiendi ni mtego. Itakushangaza

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Wikiendi ni siku ambazo wengi huchukulia kama siku za mwisho wa wiki yenye siku Saba. Siku hizo ambazo zimepewa Jina weekend ni Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.

Chanzo Cha Wikiendi.

Bwana mmoja alikuwa mmiliki wa biashara kubwa huko Ulaya..alikuwa ameajiri wafanyakazi wengi katika biashara yake.

Alikaa na kutafakari endapo wafanyakazi wake watakuja kumshinda utajiri siku moja kwa sababu walifanya kazi kila siku bila mapumziko.

Ndipo alipoamua kuwatangazia wafanyakazi kuwa hakutokuwa na kazi siku za Jumamosi na Jumapili.Wafanyakazi wake walifurahi Sana.

Lengo la yule bwana lilikuwa kwamba endapo watapumzika katika siku hizo watatumia pesa zao za mshahara na za kibarua hivyo hawatatunza na kupata maendeleo wala kumfikia utajiri kamwe.

Kufitia Mfano wake makampuni mengine nayo yakaanza kuwapumzisha wafanyakazi wao.

Weekend Tunazozijua leo zilianza Hivyo...
Unapenda kujirusha weekend.!!!
 
Back
Top Bottom