Wikiend yangu leo imemalizika hivi 😊

Haha ni kweli uzuri nyuma ya keyboard watu huwa hawafichi tabia zao hasa chuki huwa hazijifichi ,ila ni rahisi kuficha madhaifu kuonesha uimara, ndio maana ni rahisi kutunishiana misuli mtandaoni ila not in reality ambapo mnaonana
 
Lamomy nadhan Manyaza amesoma ili awe tajiri na ndio amemaliza kusoma weekend hii.
Tusubiri miaka 7 ya miongozo ya Bwana Bodo.

Kumuuliza ana utajiri kias gan kwa sasa ni swal personal. hata ww ungeulizwa usingejibu kirahisi.

Pia utajiri ni Mtambuka. ina dhana pana .

Otherwise. be good Shem , peace Lamomy
 
😹😹😹 Si atakua kashazeeka sasa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…