Mkuu, we umeshadownload kwenye flash au hdd? Naona sipati direct link...Ni upgrade inabidi uwe na windows 7 SP1 at least, ila unachopata mwishoni ni full Windows 10 haina tofauti na kuinstall upya.
Yaani ile haidownloadiwi na kuhifadhiwa inadownloadiwa na ku upgrade moja kwa moja.Mkuu, we umeshadownload kwenye flash au hdd? Naona sipati direct link...
Yaani ile haidownloadiwi na kuhifadhiwa inadownloadiwa[ na ku upgrade moja kwa moja.
Hiv kwel kuna mtanzania wa kununua windows kwa 120usd, binafsi ntaendelea kudownload mpaka mwisho wa maisha