Wiki ya kumkumbuka mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Wiki ya kumkumbuka mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Nyundo Kavu

Senior Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
186
Reaction score
85
Wadau,

Karibuni Maktaba Kuu ya Taifa kuja kujisomea machapisho mbalimbali yalioandikwa na Mwl. Julius K. Nyerere enzi za uhai wake. Pia kutakuwepo machapisho yaliyoandikwa kuhusu yeye. Hii yote ni katika kuadhimisha "Wiki ya Kumkumbuka Baba wa Taifa letu hili la Tanzania.

Aksanteni.

Mdau wa Maktaba.
 

Attachments

  • IMG_2334.JPG
    IMG_2334.JPG
    291.9 KB · Views: 127
  • IMG_2335.JPG
    IMG_2335.JPG
    287.3 KB · Views: 112
  • IMG_2336.JPG
    IMG_2336.JPG
    217.2 KB · Views: 151
  • IMG_2337.JPG
    IMG_2337.JPG
    229 KB · Views: 173
  • IMG_2338.JPG
    IMG_2338.JPG
    224.1 KB · Views: 105
  • IMG_2339.JPG
    IMG_2339.JPG
    172.9 KB · Views: 119
  • IMG_2340.JPG
    IMG_2340.JPG
    162.6 KB · Views: 121
  • IMG_2341.JPG
    IMG_2341.JPG
    96.2 KB · Views: 117
  • IMG_2342.JPG
    IMG_2342.JPG
    242.4 KB · Views: 115
  • IMG_2343.JPG
    IMG_2343.JPG
    159.4 KB · Views: 113
  • IMG_2344.JPG
    IMG_2344.JPG
    189.9 KB · Views: 100
  • IMG_2345.JPG
    IMG_2345.JPG
    276.3 KB · Views: 108
  • IMG_2346.JPG
    IMG_2346.JPG
    138.6 KB · Views: 123
  • IMG_2347.JPG
    IMG_2347.JPG
    244.3 KB · Views: 113
  • IMG_2348.JPG
    IMG_2348.JPG
    205.3 KB · Views: 115
  • IMG_2349.JPG
    IMG_2349.JPG
    222.9 KB · Views: 115
  • IMG_2350.JPG
    IMG_2350.JPG
    180.9 KB · Views: 125
  • IMG_2351.JPG
    IMG_2351.JPG
    219.6 KB · Views: 114
  • IMG_2352.JPG
    IMG_2352.JPG
    126.8 KB · Views: 98
  • IMG_2353.JPG
    IMG_2353.JPG
    210.8 KB · Views: 101
Hivyo vitabu ni google nitavipata? maana mie niko upareni, hata Dasilamu Maktaba Kuu sipajui mieee
 
Wana JF.
Hebu tuanza kumkumbuka Mpedwa wetu Mwalimu Nyerere kwa kumtumia japo ujumbe mfupi tu unaohusu mambo ya kisiasa,kiuchumi na kijamii kipitia jamvi hili .
Mimi naanza kwa ujumbe huu.
Shikamoo baba.
Natumai u mwenye heri huko ulilko peponI.
Sisi tu wazima ila juzijuzi tulipatwa na tetemeko la ardhi na kusababisha vifo na uharibifu wa mali huko mkoani Kagera.
Hata hivyo hali haikuwa mbaya sana.
Ninakutakia maisha mema pepon I baba.
AMEN.
 
Eeh baba wa taifa letu sasa hivi elimu ni bure kama ilivyokuwa enzi zako ila tofauti ni kwamba siku hizi tunahamasishwa kufyatua watoto wengi kwa sababu elimu ni bure, Tunakuombea mapumziko mema
 
Back
Top Bottom