Wiki sasa sina amani

Mungu ashukuriwe hongera sana
 
😁😁😁umenusurika kuingia cha kike
 
Je! Yaani jitu limukuambukiza kwa makusudi eti uliuluze taratibu !Then, Litakuletea aina zote za vvvu. Hivi duniani kuna maumivu kama hayo ? Mtu kakuletea kifo eti mjadili.
 
Japo hatufahamiani ila kiubinadamu nimefarijika sana kwa habari kama hii,yani mpaka machozi yamenilenga lenga,
Mungu akulinde na atulinde sote In Sha Allah,
Life is a Gift.
Daaah mkuu haikua rahisi ila kuna watu wanajua kushawishi na hapa sasa nina amani nawaza tu ni jinsi gani nitamwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…