Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,785
- 58,375
Daaah thank mkuu...Kijana wa Chamazi umeyatimba pole sana ndugu yangu usiogope kupima pima ishi pata majibu Fanya mazoezi kunywa maji mengi ila ulipima inshallah utakuta hauna nakuombea kwa mola hivyo Chamazi finest polee sana ndio ukubwa
๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบMkuu acha tuuu mpaka sasa hata selewi how imekua hivi ..Binadamu ni kiumbe hatari sana, zaidi ya mnyama. Unaishi na mtu kumbe anameza madonge na hakuambii...dah๐ญ๐ญ๐ญ
Pole sana mkuu!
Acha wasiwasi mkuu.Ni mambo ya vidonda vya tumbo tu.Na anaviweka chini ili vipate ubaridi na matunzo mazuri.Furahia life mkuu!Habari za mda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Mtu anakuambia wewe nenda kapime ili uwe nae..Puwa brein... Sasa ulishindwaje kumwambia mkapime wote,yy alikuamuru ukapime na ukampa majibu yako bila ww kupewa yake au ndiyo mambo ya majimama/mishangazi
Sio alinidanganya vile sio vidonge vya vidonda vya tumbo mkuu....Acha wasiwasi mkuu.Ni mambo ya vidonda vya tumbo tu.Na anaviweka chini ili vipate ubaridi na matunzo mazuri.Furahia life mkuu!
Kama anatumia dawa Kwa usahihi, hawezi kukuambukiza, pia wapo watu wasio weza kupata maambukizi lakini Hawa watu ni adimu kama almasi.....Tuliza akili uamue Kwa hekima......Habari za mda huu ndugu zangu,
Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu.
Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV.
Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda vya tumbo..
Wakuu nina wasi wasi sana maana hata ishu ya kupima yeye ndio alifosi mimi nikapime nimletee majibu.
Baada ya kusema hivo nikajiwekea asilimia mia kua yeye yupo salama..
Ila mpaka sasa nimekua na wasi wasi mno.
Nataka kujua yafuatayo wakuu wenye experience hivi mtu anayetumia dawa vizuri kabisa ni kweli hawezi kuambukiza au ni story za vijiweni...?
Na ile ya kusema kuna watu hawapati virusi ni kweli au ? maana mpaka sasa naona nipo poa kabisa...
Wakuu ni week sasa hata hamu ya kula chakula cha usiku sina mpaka ananistukia sasa...
Najuta.... Kitu kinachoitwa kupima kwa sasa HAPANA
Watu wengi siku hizi wenye HIV ukiongea nao wana maneno positive sana juu ya kujikinga na HIV, kama kupima, kutumia mpira sasa ukijichanganya tu imekula kwakoMtu anakuambia wewe nenda kapime ili uwe nae..
Unadhani hapo utakua na concept gani kichwani kuhusu yeye. ?
Mkuu now nipo stressed sana...Kama anat
Kama anatumia dawa Kwa usahihi, hawezi kukuambukiza, pia wapo watu wasio weza kupata maambukizi lakini Hawa watu ni adimu kama almasi.....Tuliza akili uamue Kwa hekima......
Huwezi kuangamia kimyakimya mkuu.Atakugawia na wewe upate tiba.Usitaharuki.Take it easy!Sio alinidanganya vile sio vidonge vya vidonda vya tumbo mkuu....
Why alifanya hivi mtu nakaa nae Usitaharumda wote kumbe nia yake ani angamize kimya kimya
Asante mkuu kwa ushauri wako..๐๐๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐๐ ๐ค๐ง ๐๐?? ๐๐๐ฎ๐ค ๐๐๐ข๐๐ค ๐ฎ๐๐ฅ๐ค ๐๐๐ฃ๐ ๐จ๐๐ ๐ช ๐๐ฏ ๐๐๐ ๐ข๐จ๐๐ฃ๐๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐๐ ๐ ๐๐ฅ๐๐ข๐ ๐ฉ๐๐ฃ๐ ๐๐๐ข๐ฎ๐ ๐ ๐๐ข๐ฎ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฎ๐ ๐๐๐ฅ๐ค ๐ฃ๐๐๐ค ๐ช๐ฉ๐๐ ๐ช๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐๐๐๐ช ๐ฎ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ช๐๐๐ฃ๐ฎ๐..
๐๐ฌ๐ ๐ข๐ฌ๐๐ฃ๐๐ช๐ข๐ ๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐ ๐ช๐๐๐ ๐ ๐จ๐๐ก๐๐ข๐ ๐๐๐ฉ๐ ๐ ๐๐ข๐ ๐ข๐ ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ข๐๐๐ข๐๐ช๐ ๐๐ฏ๐!! ๐พ๐๐ ๐ข๐จ๐๐ฃ๐๐ ๐ฃ๐ ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐ฅ๐๐ข๐ ๐ฉ๐๐ฃ๐ ๐๐ค๐จ๐ฅ๐๐ฉ๐๐ก ๐ฃ๐ฎ๐๐ฃ๐๐๐ฃ๐ ๐ข๐๐๐ก๐ ๐ฃ๐ ๐ฎ๐ ๐๐ฌ๐๐ก๐ ๐ ๐ช๐จ๐๐๐ง๐๐ ๐ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ค ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐จ๐ ๐จ๐๐ค ๐ข๐ช๐๐๐ข๐ช ๐ฉ๐๐ฃ๐ ๐๐ก๐ ๐ ๐๐ข๐ ๐ข๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฉ๐ค๐ฉ๐ค ๐ฃ๐๐ค ๐ ๐๐ฌ๐๐ฅ๐๐๐ข๐ ๐ช๐๐ช๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฏ๐๐ค.
๐๐๐ข๐ ๐ฌ๐๐ฅ๐ค ๐จ๐๐ก๐๐ข๐ ๐ฃ๐๐ฌ๐ ๐ช๐ฅ๐ค ๐จ๐๐ก๐๐ข๐ ๐๐๐ ๐๐ฉ๐๐ ๐ช๐จ๐๐๐๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐๐๐ข๐ช๐ฏ๐ ๐ฎ๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐๐๐ฃ๐ฎ๐๐ ๐!!
๐๐ช๐๐ก๐ ๐๐๐ ๐ค ๐ฃ๐ ๐๐ช๐ข๐ช ๐๐๐ฃ๐ ๐๐ก๐ ๐๐๐ฎ๐ค ๐ฃ๐๐๐ค ๐๐๐ข๐๐ค ๐ฎ๐ ๐๐ฌ๐๐ก๐ ๐ฉ๐๐๐ฃ ๐ช๐ ๐๐จ๐๐๐ฅ๐๐ฉ๐ ๐ข๐๐๐๐๐ช ๐ ๐๐ง๐๐๐ช ๐ ๐ฌ๐ ๐ช๐จ๐๐๐ช๐ง๐ ๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ ๐๐๐๐ฃ๐ฎ๐๐ ๐..
๐๐ฝ;๐๐๐ข๐ ๐ช๐ฃ๐๐๐ช๐ ๐๐ค๐ฎ๐ค ๐ฌ๐๐ ๐ค ๐๐๐ช๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐๐ฃ๐ ๐ฃ๐๐ฎ๐ ๐ผ๐พ๐๐ผ๐๐ผ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐ฝ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ฟ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ผ ๐๐ผ๐๐๐๐ผ ๐๐. ๐๐ฌ๐๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ ๐ช๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ajali๐๐
Mkuu acha tuu najuta sasa ...Watu wengi siku hizi wenye HIV ukiongea nao wana maneno positive sana juu ya kujikinga na HIV, kama kupima, kutumia mpira sasa ukijichanganya tu imekula kwako
Daaah aiseee mkuu acha hayo maneno yakoKama hauwezi kupima hapa unatafuta nini, faraja hewa?
Kama anao uwezekano mkubwa hata wewe unao.
Achana na stori za kukupa faraja isiyokuwepo.
Mkuu huyo alikua mzembe kuficha au aliweka makusudi uogope tu..Umenikumbusha Kuna dada mmoja muuza uji mtaani nilikua namzimia kinoma sasa mi siyo mpenzi wa uji lakini nikaanza tabia ya kunywa uji kila siku siku moja nimempa hela nimesimama nae karibu akafungua pochi yake ili anipe chenji eeh bana wee si nikaona kikopo cha ARV