Wiki nzima yake ngiama.

Wiki nzima yake ngiama.

Septem

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
313
Reaction score
404
Mwezi juni mwaka jana, mfalme wa msituni, alitangaza mtandaoni kuachia album yake aliyoiita 7 jours de la semaine (siku saba za wiki au wiki nzima),.

Jina.
Jina la album hii likimaanisha wiki nzima ya kula 'bata'. Ukisikiliza nyimbo ya diemba ndio imebeba maana ya album hii. Nyimbo hii ni atalaku(just google it)

kwa ujumla album hii imejumuisha nyimbo ambazo ni za kupartay. Kasoro nyimbo mbili tu ambazo ni rhumba(ali mayina na 520).

Katika album hii ameendeleza utamaduni wake wa mabadiliko (le grand fematuer). Sikiliza nyimbo kama dj ambayo ni pure house. Nyimbo kama mamu, zenga luketuu ni soukous tu. Hili ndicho kinamfanya wera(kizazi cha 4) adumu hadi kizazi cha sasa (5).

Yapo mengi ya kumuhusu wera na album hii, wajuvi wa mambo haya , tukutane hapa.

Hii hapa ni album kamili, ukiwdza inunue amazon.

Werrason 7 jours de la semaine - YouTube
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom