Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa anasifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)
Akamtongoze!!!amsaidieje sasa?
Nazjaz, ina maana kila jioni unafanya tathmini ya wakaka waliokuchangamkia/kukutongoza? maana mpaka unakuja kugundua kuwa siku ya leo sijachangamkiwa au hakuna aliyeniambia kuwa ananipenda ina maana unafwatilia sana hayo maswala.
kwa kusema ukweli sijawahi kuliwazia hili, siku zinapita tu naona mambo yapo kawaida
Sorry, kumbe ni baadhi kama huyu aliyetoa mada!!SI WOTE
IYO STLE YAKE SI WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE mmh mhh apana nooooo!!!!!nagoma nabisha!!!!!
Nazjaz umenichekesha saana
Kumbe kuna mambo haya tena oops pole sana
Lakini kama unajiamini hata mwaka ukipita kuna tatizo gani?
Haya mambo ya nyota kufifia yanatoka wapi?
Je wanaokutonga kwa wiki wangapi? na unawakubalia wangapi?
Asante.
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa anasifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)
mh shost una hatar wewe..uongozane na bacha?
utafika safar yenyewe?
ahh km ivo basi mi nimegair safar yenyewe
bacha hafai uyo ennh!!
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.Hutaki niongee ukweli?
Hivi kati ya wanawake na wanaume ni wepi wanawaza ngono zaidi?
Kunitongoza hakumaanishi umenipata.
Wakariobishwa, uje ukiwa umeoga, umefua sox zako, umepigwa mswaki na uwe unanukia polo perfume kwa mbali ili nisiboreke kuongea na wewe
Uli ni mbalapala
Wote wanawaza ngono, lakini kuna muda wa kufanya hivyo!! Na ndio maana last week hukutongozwa na mtu yeyote kwa sababu huenda wanaume hawakuwa na mawazo ya ngono wakati wewe ulikuwa nayo.
Ahahahahahaaaaaaah!! Hajakutana na wenye ma-PhD ya kutongoza huyu.ok, uzuri ni kwamba,
ukishanikaribisha mimi kukutongoza,
ujue umekwisha!!!!huwezi toka salama
Nimefurahi kukuona FirstLady1 baada ya muda mrefu sana. Tena ndani ya avatar niliyokuwa nimeizoea zamani.Nazjaz umenichekesha saana
Kumbe kuna mambo haya tena oops pole sana
Lakini kama unajiamini hata mwaka ukipita kuna tatizo gani?
Haya mambo ya nyota kufifia yanatoka wapi?
Afadhali bacha umetokea hebu nipe msaada, Niongoze tafadhali, lakini na wewe usinipeleke chaka ee!!