Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,377
- 4,847
Nikiwa form 4 Bado kama wiki moja hivi tupige mtihani wa taifa watu wakaanza kutuma maswali kutoka shule mbalimbali(possible)
Kuanzia ijumaa kuelekea Jumatatu ya kuanza mitihani ikiwa ndo shida kila mtu anakuja na maswali yake anakwambia haya nimetumiwa na jamaa yangu yuko sijui Ilboru mwingine Mzumbe Mwingine Kibaha daa ukisikia hizo shule unajua ndo mtihani wenyewe hata yakitumwa usiku wa manane unaamka unaenda kusolve
Mwishowe nkaona kama vile ntakuja kuchanganyikiwa bure nikaacha kusolve nikaendelea kusoma Nondo zangu
kivumbi J3 ya mtihani daa Hakuna hata Swali lilitoka nikasema afadhali nliacha, maswali yalituma kama elfu na ushee hivi ila hakuna hata moja lililotoka kuanzia theory mpaka practical.
Je Nawewe ulikutana na hali kama hiyo?