Pole sana.Ninawiki 2 naumwa homa kali Sana nimeenda hosp 3 tofauti naambiwa Sina maralia Wala uti wala typhoid nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi
Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka ...nguvu Sina ..nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza ...Ni mjamzito miez 6 ..homa haiponi jaman
Ulienda hospt ipi?? Dispensary, medical center hspt au referral hospt. Tuanzie hapo Kwanza.Ninawiki 2 naumwa homa kali Sana nimeenda hosp 3 tofauti naambiwa Sina maralia Wala uti wala typhoid nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi
Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka ...nguvu Sina ..nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza ...Ni mjamzito miez 6 ..homa haiponi jaman
Hosp nimeenda 3 tofaut naambiwa Sina tatizo nikapewa pcm na amox tu.Ungetakiwa muda huu uwahi hospital mpendwa linapokuja suala la afya yako kwa nyakati hizi ambazo uhai upo mkononi unatakiwa uwe na maamuzi ya haraka kuliko haraka yenyewe.
Pole sana.Hosp nimeenda 3 tofaut naambiwa Sina tatizo nikapewa pcm na amox tu
Daaa wewe jamaa banaa[emoji3]Mkuu wahi hospitali ya serikali ya wilaya au mkoa.
Huduma huko zimeboreshwa.
Wataijua shida yako, wanazo dawa nyingi siku hizi. Mpaka tiba ya nyungu na hata dawa za Madagascar wanatoa.
Jivukize na maji ya chumvi tuuuNina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi. Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka... nguvu Sina.. nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza... Ni mjamzito miezi 6.. homa haiponi jamani
HayaPole sana.
Kwa sababu ni mjamzito, nakushauri uende hospitali ya rufaa (kuanzia level ya hospitali angalau ya mkoa) haraka sana. Hospitali ambayo wataenda beyond Malaria, Typhoid, UTI. Hizi ni zama za tofauti sana. Usipuuzie tafadhali; au hospitali ya private kubwa yenye levels hizo. Usipuuzie tafadhali kwa sababu ya hali yako ya ujauzito, mambo yanaweza kuwa complex zaidi. Nakuomba sana kimbia hospitali KUBWA upesi sana kuokoa maisha yako na maisha ya mtoto.
Anna pita
Mkuu pole sana, i know how it feels...Ni mjamzito miezi 6.. homa haiponi jamani