Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,512
Ni ankaliKama dada yake yuko busy kutetea ule mkataba wa hovyo wa bandari, atakuwa anajua kaka yake yupo sehemu salama.
Vinginevyo sasa hivi angekuwa anapayuka sana, inawezekana huwa anamtembelea huko alipo kila jioni.
Acha uongoWajumbe,
Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.
Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika mchango wa Mwanadiplomasia huyu ni muhimu sana. Kama tayari mmempokonya kadi ya chama basi mwachieni huru.
Karume alipokonywa kadi ya uachana baada ya kuonekana mwiba kwa utawala wa Rais Hussein Ally Mwinyi ambaye Balozi anamuona kama mtu aliyeshindwa kuongoza visiwa hivyo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hiyo.
Karume pia aliweka wazi anachokijua kwamba CCM hakijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar hata mara moja na kwamba uamuzi wa nani aongoze Zanzibar hufanyika Dodoma (Tanganyika).
Huyo anayepoteza watu ni Nani tena? Kwani Jiwe limefufuka?Mtanikumbuka 😀😀
Hapo chacha!!Huyo anayepoteza watu ni Nani tena? Kwani Jiwe limefufuka?
Lete ukweli.Acha uongo
Mkuu Despro, Desprospero, usiwe na shaka kabisa kuhusu mahala, alipo, hajafichwa, itakuwa ni amehifadhiwa mahala salama kabisa.Wajumbe,
Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.
Ameenda kufichwa kama Late Abdul Jumbe enzi za Nyerere?
yuko kwakeLete ukweli.
Sikia nenda police chukua Rb, kama balozi bado ni mali ya uma,Wajumbe,
Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.
Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika mchango wa Mwanadiplomasia huyu ni muhimu sana. Kama tayari mmempokonya kadi ya chama basi mwachieni huru.
Karume alipokonywa kadi ya uachana baada ya kuonekana mwiba kwa utawala wa Rais Hussein Ally Mwinyi ambaye Balozi anamuona kama mtu aliyeshindwa kuongoza visiwa hivyo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hiyo.
Karume pia aliweka wazi anachokijua kwamba CCM hakijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar hata mara moja na kwamba uamuzi wa nani aongoze Zanzibar hufanyika Dodoma (Tanganyika).
Mmh, smelling fishyMkuu Despro, Desprospero, usiwe na shaka kabisa kuhusu mahala, alipo, hajafichwa, itakuwa ni amehifadhiwa mahala salama kabisa.
Hili sii jambo geni kwa huku bara kuwahifadhi salama viongozi wa Zanzibar.
P
- Siku ya Mapinduzi, tulimhifadhi Karume
- Baada ya Mapinduzi tukamhifadhi Hanga,
- Baadaye tukamhifadhi John Okello
- Mwaka 1971 tukawahifaddhi Babu na Col. Mahafudh baada ya Ahmada kufanya lile jambo lake.
- Mwaka 1984 tukamhifadhi Jumbe
Don't worry be happy!. Take it from me, na atakaporejea Zanzibar, he will be a good boy!.Mmh, smelling fishy
Ni Abudu JumbeAmeenda kufichwa kama Late Abdul Jumbe enzi za Nyerere?
RIPWajumbe,