Kiongozi mmoja wa dini fulani alikuwa akiwashauri waumini wenzake kuhusu kuzungushia wigo makaburi ya ndugu zao! Ghafula mlevi mmoja akasema mimi nna swali! Kiongozi: we uliza tu hapa tunashauriana!
Mlevi: kwani umeletewa mashtaka kwamba kuna marehemu huwa wanatoroka mpaka tuwazungushie wigo?
Watu wote wakabaki wameduwaa!