Wigan hakuna k2 kabisa!

Wigan hakuna k2 kabisa!

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
dakika ya 3 gori 2, mpaka mwisho cjui itakuwaje?
 
dakika ya 3 gori 2, mpaka mwisho cjui itakuwaje?

Dk 90+4 FT. Chelsea 2-0 Wigan.

Ila Wigan wamejitahidi japo wamefungwa, kuna jamaa anaitwa MOSES ni balaa, Terry, Ivanovic na A Cole ulimi nje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom