nimefanya kama ulivyonambia na ipo kwenye notification panel,inaweza kufanya internet service au mpaka uunge na wa mtandao eg voda,ai,,au inamaeneo yake ili ifanye hyo kazi?
Wifi ni short range connection kati ya simu na kifaa kinachotumia Wifi kama PC, simu lazima iwe na internet ili iweze kushare net na PC. So ni lazima uwe na internet kwenye simu, kwa kununua bundle au kulipia per MB.

ningefurahi ningepata maelezo ya jumla kuhusu wifi m simu yangu ina wifi lakini kiukweli sielewi matumizi yake kabisa ni kama bluetooth au iko vipi msaada tutani