Sundii Member Joined May 6, 2020 Posts 46 Reaction score 43 Jan 6, 2024 #1 Habar. Anayejua Bei ya installation wifi na solor camera naomba anijuze. Anayefahamu jinzi ya kuziagiza nje ya inchi naomba msaada
Habar. Anayejua Bei ya installation wifi na solor camera naomba anijuze. Anayefahamu jinzi ya kuziagiza nje ya inchi naomba msaada
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,518 Reaction score 12,913 Jan 7, 2024 #2 Wewe ni mteja au unataka kufanya biashara?