Wengine wamesave wake zao kwa jina la 'Kimeo', hivi kweli angekuwa kimeo ungekwenda naye kanisani au msikitini mkafungishwa ndoa? Chanzo cha hayo majina ni nini hasa? Au pale wanaume wanapopata vijibustani vyao ndo wanaona kuwapa wake zao majina ndo sifa!! Awali ni awali tu hakuna awali mbovu hilo mkumbuke siku zote!