Aisee hivi huyu Ali Kiba wa ladha hizi yupo wapi?
Mackmuga,Mapenzi yana run dunia,Napenda kula,Hadithi,n.k
Leo nimeamkia nyimbo zake,aisee huyu janki alikuwa tishio,siku hizi sijui anaimba upuuzi gani,natamani arudie kuimba ule muziki wake wa zamani uliotufanya tuwe mashabiki wake,kama ni mmoja wa mashabiki wa huyu nguli na wewe dondosha jina la kibao chake ambacho huwa kinakukumbusha mambo flani back in the days,mimi nimeanza na hiki cha
Wife wa Dunia,moja kati ya vibao vikali kabisa vya huyu kijana,enjoy....