Wife of South African state minister gets 12 years for drug dealing

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,468
911,174
Wife of South African state minister gets 12 years for drug dealing

From Nkepile Mabuse, CNN
May 6, 2011 8:17 a.m. EDT

t1larg.cwele.2010.gi.afp.jpg

Cheryl Cwele (pictured in 2010) is married to Siyabonga Cwele, the South African minister of state security.

STORY HIGHLIGHTS

  • NEW: Opposition parties call for the minister's resignation
  • Cheryl Cwele is married to Siyabonga Cwele
  • She is sentenced together with an accomplice

RELATED TOPICS

Johannesburg (CNN) -- The wife of the South African state security minister was sentenced Friday to 12 years in prison for drug dealing that included hiring smugglers, authorities said.
Cheryl Cwele was convicted after one of the women testified against her.
Charmaine Moss, who testified against her, said Cwele asked them to pick up a parcel in Turkey, but she turned her down.
Prosecutors relied on the woman's testimony, text messages and e-mails to prove their case, said Natasha Ramkisson, a spokeswoman for the national prosecuting authority.
Moss told the court that Cwele offered them more than $3,500.
Another woman agreed to pick up the package, and was arrested in Brazil, where she is now serving an eight-year sentence for drug trafficking, Ramkisson said.
Cwele was convicted Thursday together with a Nigerian accomplice. She had pleaded not guilty.
Opposition parties called on minister Siyabonga Cwele to resign following his wife's sentencing. The minister is a member of the ruling African National Congress.
"This entire episode is an embarrassing blow to the reputation of South Africa and its government," said Phillip Dexter of the Congress of the People, which broke away from the ruling party.
Presidential spokesman Zizi Kodwa declined to comment.
 
Hizi tamaa za utajiri wa haraka haraka ambao hata hatuuhitaji utatupeleka pabaya sana......huyu ana kila kitu haya purukushani za nini?
 
jamani sisi kama tanzania tujifunze kitu hapo kwamba ata uwe mkubwa vipi katika nchi your not above the law
 
Now that's what am talkin bout!..kwanini sisi Tz tusiige..peleka jela hawa wote mafisadi.
 
tanzania kuna anne kilango na dada mwenye mariedo. Hata mdogo wake mariedo alikufa baada ya kupasukiwa vidonge tumboni (factual). Kuna lucy mayenga, sophia simba, wote ndo biashara zao
 
tanzania kuna anne kilango na dada mwenye mariedo. Hata mdogo wake mariedo alikufa baada ya kupasukiwa vidonge tumboni (factual). Kuna lucy mayenga, sophia simba, wote ndo biashara zao

Haya vyombo vya usalama mmepewa leads anzeni kufanya kazi kama wenzenu wa South Africa; hawa wabunge wetu wakiwemo wanaume pia wengi wao wanajihusisha na hizi biashara haramu! Msiogope watu kwa sababu ya vyeo vyao, wanatuumizia watoto wetu kwasababu ya ulafi wao.
 
Hawa Wasauzi kama wasipokuwa makini miaka michache ijayo watajikuta wamekuwa hizi nchi zetu za kiswahili.
 
Haya vyombo vya usalama mmepewa leads anzeni kufanya kazi kama wenzenu wa South Africa; hawa wabunge wetu wakiwemo wanaume pia wengi wao wanajihusisha na hizi biashara haramu! Msiogope watu kwa sababu ya vyeo vyao, wanatuumizia watoto wetu kwasababu ya ulafi wao.

Waongeze na akina Kinana, Idd Azzan, Mosha makamu raisi wa Yanga, Reginald Mengi na wanaye
 
Jamani sio vizuri kutaja majina ya watu wakati mkiitwa kutoa ushahidi mahakamani mnaingia mitini. Kwa ujumla south africa wameonyesha mfano mzuri sana, ila hii inatokana na vyombo vyao vya upelelezi kuwa huru zaidi. Kinachofuata huyo mumewe ajiuzulu uwaziri, kwa kuwa siamini kama mkewe alikuwa anafanya biashara hiyo huku yeye akiwa hajui, na kama kweli alikuwa hajui kutokujua kwake ni sababu tosha kwamba hafai kuwa kiongozi wa umma.
 
Hizi tamaa za utajiri wa haraka haraka ambao hata hatuuhitaji utatupeleka pabaya sana......huyu ana kila kitu haya purukushani za nini?

I genuinely thought atakwepa kwa kuleta obstacles kibao na kuhairisha kesi mara kwa mara... Kweli South Africa wako juu. But kwa mtazamo wangu the husband (minister inabidi aachie ngazi) si rahisi kua the wife alikua ana deal without the husbands knowledge.

Good new to ladies, The guy is single for 12 years - what a break !!!
 
Code:
I genuinely thought atakwepa kwa kuleta obstacles kibao na kuhairisha  kesi mara kwa mara... Kweli South Africa wako juu.  But kwa mtazamo  wangu the husband (minister inabidi aachie ngazi) si rahisi kua the wife  alikua ana deal without the husbands knowledge.
 
Good new to ladies,[COLOR=red] The guy is single for 12 years - what a break !!![/COLOR]

Huyu Waziri ujue ana washikaji wengi hata sasa - kwa hisia zangu- kwa hiyo sana sana mama huyo kwa muda wote huo kampa nafasi pana ya kujichana na vimwana........................kibao...kwa hiyo hatakuwa na mapumziko ila kashi kashi ndizo zitashamiri...............
 
Biashara ya unga ni zaidi ya unavyofikiria!, ulisikia boss wa bashara hiyo columbia alivyokamatwa kukatokea mtafaruku wa hali ya juu?
Hivi hujiulizi hapa tz yanakamatwa kilo nyingi tena ndani ya nyumba lakini hujasikia kesi mahakamani?
Hivi hujiulizi kwa nini marekani hawakomalii tatizo hilo?
Kwa taarifa yako, madawa ya kulevya na ukimwi ni miradi endelevu wa watu ambao unawajua na unawaamini na unawategemea!, kwa tanzania faili lao lipo ikulu ni siri ya wanikuru!
We kazi yako mkanye mwanao asitumie, kuzuia hakuna ataeweza!
 
Nakubaliana na statement yako yote maani imetokana na basics za ukweli... But hata hivyo tokana na hili tatizo lilivyokua sugu wacha tu katika bara la Africa bali na kwingineko koote; Nafikiri South Africa wanastahili pongezi kwa kuweza kufuatilia karibu na kumakamata muhusika wakatupilia mbali wadhifa mkubwa wa mume wake katika serkali..
 
SA mi nawaaminia tangu walipoendesha kesi ya zuma akiwa VP na kumtia hatiani mshirika wake, hapa kwetu hata ungekuwa mshirika wa makamba sheria itakukwepa! utasikia takukuru na akina DPP wamekaa ofisini wanakuna vitambi na wanasema mtuhumiwa hakamatiki, hashitakiki au kama vipi, mwenye ushahidi awapelekee!!

tunaishia kusikia kila siku vikesi vya sh. elfu kumi kumi!! what a shame!

mfano mzuri sana huu kwa TZ na unadhihirisha ni wapi hasa gamba lilipo na ni gamba gani hasa linaloiumiza nchi hii na linalopaswa kuvuliwa mara moja
 
Back
Top Bottom