Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Feb 1, 2015 #61 kukumega said: Na kama mtu tabia yake ni uzinzi au uasherati, wewe ubadilike uweje? Na wewe uwe mzinzi? Au ubadilike uweje? Click to expand... Kwanza ni kwasababu ipi unakasirika mtu kuwa mzinzi? Au ni kwanini unaona uzinzi ni tatizo?
kukumega said: Na kama mtu tabia yake ni uzinzi au uasherati, wewe ubadilike uweje? Na wewe uwe mzinzi? Au ubadilike uweje? Click to expand... Kwanza ni kwasababu ipi unakasirika mtu kuwa mzinzi? Au ni kwanini unaona uzinzi ni tatizo?