ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
Habari Wana Jukwaa kwa pamoja!!
Mimi ni Mwanaume mwenye umiri wa miaka 30, Leo nimeamua kuweka wazi matakwa yangu kutoka moyani,\
Nahitaji Mke (kuoa) sasa Naamini ni muda muafaka na majua mke mwema hutoka kwa Mungu ila hupitia njia yoyote kufuka kwano.
kama kuna mdada anayeamini kuwa anajitambua na yupo tayari kuingia katika mahusiano Seriously naomba ani PM number yake tuwasiliane!!
Naomba awe Mkristo kama ni dini nyingiwe awe tayari kubadilisha!!
Mengine Mengi kuhusu mimi nitakueleza tukiwasiliana!!
Thank you for your time and understanding........!