Wapo wengi sana. Hasa hawa wabeijingi, Wenye vidato vyao. Ni material kweli maana wanapenda kuona tu vinavyoelea. Wanapenda kupendwa tu na hawapendi kusemwa.
Ni wagumu kujishusha na wepesi kutangaza mtengano. Kila waonacho wanakitolea macho pasi na uwezo wa kuhodhi . Wanajivunia tu vidato. Na vidato vitawaoa kwa kuwa wao ni wife material, seeking for material world.
Wamejipaka subira ambayo upepo tu huipukutisha na kubakia na uhalisia. Ukitaka wife material uwe na material kweli