ebu nayaomba namimi hayo material .
miss chagga kashanata na beat ya kidonto
Kwani wewe in wife si bado haujafika huko au.....saiz uko kwenye girl material
Kwa mujibu wa google, wife material ni mwanamke
Asiye na madoido
Anayeelewana na ndugu, jamaa na majirani zake
Anayejua priorities za ndoa na familia
Asiye na majivuno
Asiyeendekeza majungu
Asiyependa kulipa visasi
Anayependa watoto
Added advantage:
Mwaminifu kwenye mahusiano
Good looking
Mcha Mungu
Mchapa kazi
Msomi
Mwajiriwa au mwenye kipato chochote halali...
Mengine ni kama walivyosema na watakavyoongeza wadau...
aah nilikuwa namfungua kamba bwana
but just remember dont try this at home, so twende zetu maeneo ya kule chini kibororoni.
Aiseeee! Hebu tuambie Mungu yukoje? Mimi sijawahi kumwona. Whats the meaning of the words 'am sweet, lovely and sex' before God?
hapana me nimkarimu nilitaka achangie changie kidogo si akae pale alipofungua tu ...... nimempa na kinywaji ila usitake kujua kip rafkinimeogopa maana isije ikawa mgeni kaja leo kisha afaidi leo
Weka picha nikuone, ntakuambia kama wewe ndiyeWife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
Kwangu mimi mwaminifu kwenye mahusiano ndio no1 hayo mengine ndio added advantage aisee.....
Wife material ni mwanamke wa aina gani
niambien kaka zang
Sex lady...!! sweetie...!! lovely...!! funny..! sifa zote hizi zako?
- am sweet
- lovely
- sex
- i know how to care
- funny
- responsible
- namjua Mungu
Sex lady...!! sweetie...!! lovely...!! funny..! sifa zote hizi zako?
Ukiwaza hivo huoi...
ha ha ha ha ha loh!!!!!!!!!! je yeye ni mwaminifu?
ndiyo mtoto nimejaliwa wewe
Ngai!!!
hatururhusu viluga humu me hapo sijakuelewa
Nimejikuta tu nimenena kwa lugha...