kuna rafiki yngu wa karibu amemalza chuo na alikua na mchumba wake bt mschana huyo ameingia kwenye uhusiano na mtu mwingine, jamaa ameamua atafute mke mwingine. alie na vigezo vya kua na mke ajitokeze. This is serious
mbona unamsemea au ni wewe nini
mbona hajatoa vigezo au yeye yeyote tu twenzetu
ni yeye ..... kwani jicho lako la 3 halifanyi kazi siku hz????
linafanya,wewe je..?
linafanya ndio maana nikamwona mleta mada kuwa yeye ndio mhusika, ila anaogopa kutiririka ...... au hukunielewa????
mi nahisi atakuwa yeye tu......mbona unamsemea au ni wewe nini
mbona hajatoa vigezo au yeye yeyote tu twenzetu
mi nahisi atakuwa yeye tu......