Wife material

Nishaomba sana viza na viza hakuna
Mkuu viza ya kupaa ngumu sana acha masiara kufananisha viza na waifu matilio
 
Hapo ni kwa muongozo wa Mungu tuu.
Siku zote pale unapotafta pia hata wewe uombe Mungu akupe macho uone huyo Wife Material unayemtaka
Kingine kuomba Mungu pia wewe kama mwanaume kuwa Husband material kwa Huyo wife material unayemtafta
 
Cha msingi tafuta wa kukuzalia basi..decency haipo siku hizi
Kweli na tena usithubutu kwenda kucheki eti DNA hapo ni kujitafutia makuu zaidi...as long as kazaliwa kwajo we tunza tu wa mwako huyo...kitanda hakizai kafil
 
hahahah wife material anaanza na attitude yako tu. Ukiwa jau utakutana na Jau material tu![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhahhhahhaa.doh!..
Jau material [emoji28]
 
Ukitaka material nenda kiwandan.... Tukutane tuelewene tuheshimiane ikibidi tupendane tusongeshe maisha
tatizo mnataka wanawake wakuwapelekesha mtakavyo bahati mbaya tu wamebaki wachache sana
 
Ukitaka material nenda kiwandan.... Tukutane tuelewene tuheshimiane ikibidi tupendane tusongeshe maisha
tatizo mnataka wanawake wakuwapelekesha mtakavyo bahati mbaya tu wamebaki wachache sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama unataka materials unakiwanda?
Zama zimebadilika kweli ndugu yangu kama bikira yenyewe ni tabu kuipata sembuse huyo wa pekee yako mkuu nawa wasasa hivi wanavyopenda demokrasia na maslahi tu bora mkuu ulete mchongo jinsi ya kupunguza umaskini nchini kwetu hivyo vitakuumiza kichwa bure!!!
 
Mother nature ameamua kubalance maisha yaende sawa.

Wife material anakutana na mume muhuni ili amvumilie ndoa idumu. Meanwhile, husband material anakutana na mke muhuni ili amvumilie ndoa idumu!

Tofauti na hapo, wahuni wakikutana, ndani kunawaka moto!
 
Asante....wamekalia material, material wanaotaka material wenyewe sio material wengi tunadanga nao tu, wanataka kulelewa,, nguvu za kiume zenyewe siku hizi hawana alafu wanataka material achen utan bwana
 
Na wasipo badilika itakula kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…