Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
NakujaUmeoa kama bado njoo kwangu nikuoneshe wife material hapa usisahau kuja kusimulia jf.
Nakuja
Umeoa kama bado njoo kwangu nikuoneshe wife material hapa usisahau kuja kusimulia jf.
Upo sahihi,yan unskuta kaon kitu kidog tu anasepa kumbe anaenda kwenye korongoWife material mara nyingi wanapisha na good husband na good husband mara nyingi wanapishana na wife material. So tunabet namara nyingi mikeka huchanika unayemuamini sio huyo naunayemuhofia kumbe ndio
Tena korongo lahatariiUpo sahihi,yan unskuta kaon kitu kidog tu anasepa kumbe anaenda kwenye korongo
Hahaaahahahah wife material anaanza na attitude yako tu. Ukiwa jau utakutana na Jau material tu![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa!sipigiki kizembe namna hiyo
Cha msingi tafuta wa kukuzalia basi..decency haipo siku hiziHamna cha wife material cku izi..sasa hivi we wa home unapewa na mwenzio naye wa old xul ama job naye anakula vile vile !! Cha msingi mchezo huu hautaki wivu hakuna wa kwako wa binafsi...labda kuku bandani kwako.
Point!Wife material mara nyingi wanapisha na good husband na good husband mara nyingi wanapishana na wife material. So tunabet namara nyingi mikeka huchanika unayemuamini sio huyo naunayemuhofia kumbe ndio
Hahaaa!sipigiki kizembe namna hiyo
Umeshatengeneza lkn mazingira ya kuhifadhi hyo material kwa ubora ili ikitokea amepatikana hyo wife material, materials yasijeharibika kwa uhifadhi mbovu.