Wife Material

Jiggy El Jefe

Senior Member
Aug 10, 2017
143
170
Hivi ukisikia watu wanasema mwanamke huyu ni 'wife material', unaelewa nini?
c9056df41ffd5e28ec8132c999dbeed5.jpg
 
Mwanamke ambaye baba yake akikaa na kutathmini anashukuru bora hio siku hakufikiria kupija nyeto au kuvaa condom akaamua kupandkza kwa mke wake kipenzi.
 
mwanamke anaye jielewa , ambaye yupo tayari kuwa kuingia kwenye makubaliana ya familia tatu,, ya mwenza wake, yakwake yaani nyumbani kwao,, na atakayo iyanzisha yeye na mwenza wake,,, pia mchapakazi asiwe goal keeper,,, mwenye ushaur kwa mwenza wake nini kizuri nini kibaya,, mwenye upendo lazima amani itakuwepo,, mwenye tabia njema , hekima na busara,, na mwisho mwenye hofu ya mungu. ni mtazamo wangu .
 
Umemaliza kabisa
 
Ooohhh!!! Sawa "Wifeeee materiallllllll" hawa wanawake wa sifamhizi wapo kweli?? Katika 100 wapo wangapi kwa mfano???
 
Nawiwa kuwafahamu mkuu nijue nitampataje???
Ukisubiria kumpata wa sifa zote hizo utakua babu na hautampata. Ww angalia awe nazo hata nusu ya hizo. Otherwise ukweli ndo huo hapo hizo ndo sifa anazotakiwa wife material awe nazo.
 
Basi kumbe kuna wife material "HEWA" kama kumpata naweza hadi kuzeeka!!!!

Anyway,, kupendezwa na mwanamke inategemeana na mtazamo wa mwanamme husika,,unaweza kumuita wife material mwingine akamuona wa kawaida sana hata kama ana tabia zote hizo!

Lakini ni kweli wa apo but huenda hata wao hawajijui vizuri ,,Nina pata mashaka kuwa kuchagua chagua sura kunaweza kufanya upishane na wife material!!
 
Hata mm huaga nadhaniaga hivyo mkuu "Attitude ya mtu iko based on how you treat them" Wife material hawez kua machoni mwa kila mtu...nadhani Kila mmoja ana haki ya kusema hilo kulingana na mazingira yake. Unaweza ukamuona ni wife material mwingine akamuona ni Stripper Material
 
Hakika !!!
 
Basi kumbe kuna wife material "HEWA" kama kumpata naweza hadi kuzeeka!!!!

Anyway,, kupendezwa na mwanamke inategemeana na mtazamo wa mwanamme husika,,unaweza kumuita wife material mwingine akamuona wa kawaida sana hata kama ana tabia zote hizo!

Lakini ni kweli wa apo but huenda hata wao hawajijui vizuri ,,Nina pata mashaka kuwa kuchagua chagua sura kunaweza kufanya upishane na wife material!!
Sure
 
Back
Top Bottom