Wife kaamua kuchat na watu msg za kimahaba kwa lengo la kunikomoa na kuniumiza

Kama huna akili opt sabuni tu. Ndoa zina wenyewe.
Shida kupiga pull ya nini wakati mitaa kibao ya Dsm imejàa warembo wa kila aina kila rangi. Ukiwa na ten yako tu unasuuza rungu
maisha yanaendelea
 
Utakuwa unatafuta sababu ya kumuacha wewe, halafu mnakuja kuwasema single mother acha, kwani wewe haujacheat? Usitafute huruma kwanini mkae tofauti shida ipo kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom