Wife kaamua kuchat na watu msg za kimahaba kwa lengo la kunikomoa na kuniumiza

Sawa,nikweli unapofanya jambo linalompa wakat mgumu mkeo ,Kama HANA MUNGU na Kama Hakupendi... Atatembea na wanaume kama sehem ya kukuumiza .

Lkn hayo yote atayafanya Kwa siri siri sana ili mradi tu karoho kake kasuuzike.

Kwa tatizo lako, Hasingeweza kua na Makusudi ya waziwazi et kukufanya uumie , .... Niwazi kua kama HAJATAFUNWA NA WANA....BASI YUKO NJIANI KUTAFUNWA.
Mpenzi, kwa hiyo walio na Mungu hawaumii? Mimi siku nikikuta message za mahaba kwako ndio tutakuwa tumemalizana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ashaliwa huyo, acha kulialia, nawewe endelea kumla ivo ivo mpaka arudishe upendo.
 
Salaam waungwana

Nipo na mwanamke kwa miaka 8 tumezaa watoto wawili

Kimaisha tunaishi mbalimbali,huyu mwanamke bado hatujafunga ndoa

Siku za hivi karibuni alipokea taarifa kutoka kwa majirani kwamba Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwingine kibaya zaidi nakaa na huyo mwanamke

Majirani wakaenda mbali zaidi na kusema kwamba ninapomtia huyo mwanamke analia sana,hivyo majirani wakamshauri atafute Siku aje ghafla usiku kutoka mkoa anaoishi hadi ninapoishi Mimi

Sasa baada ya mwanamke kufanya vile alivyoshauriwa ,kwa maelezo yake anadai alikuja usiku Fulani lakini hakukuta kitu na alikuja na kisu mkononi kwa lengo la kufanya shambulio ila akakuta hali ipo tofauti akaondoka

Tangu hapo amekua mtu wa maneno neno sana hadi sometimes kupokea simu yake naona tabu kwa sababu kila akipigia anataka azungumzie masuala hayo tu yaliyotokea

Nikiri kwamba muda mrefu mwanamke huyu amekua dhahifu sana kwenye mawasiliano na Mimi ,so najikuta muda mwingi nawasiliana na watu wengine nafika mbali zaidi nawasiliana na baadhi ya mabinti na kuchat story mbalimbali za kimapenzi

Na Mara kadhaa mwanamke huyu anakuta msg mi namuelewesha tu na nampa hadi namba za hao mabinti azungumze nao kuthibitisha kwamba sio mademu zangu

Sasa Jana nimemtembelea kwa lengo la kuwaona watoto ,ile usiku nikasema ngoja nishike simu yake

Lahaulaa!! Nakuta msg kama 4 hivi za kimapenzi anachat na wanaume wa4 tofauti

Mi nikamwita nikamuuliza hawa ni nani wako,anadai ni rafiki zake tu

Leo nikacheck tena nakuta msg nyingine ,baada ya kumuuliza ananiambia "Nimefanya makusudi kuacha hizo msg ili nawe uumie kama unavyoniumizaga Mimi ,mi nikamwambia mbona wote ulihisi ni wapenzi wangu nlishakupa namba ukathibitisha mwenyewe sasa ni kipi kimekufanya ufanye hivi wakati tulishayamaliza,anasema alitaka aniumize tu kama yeye alivyoumia"

Sasa wanaMMU hapa nami nikianza kufanya kweli tutafika ,ni sawa kukomoana katika mapenzi? Manake nlivyomsoma saikolojia yake ni kwamba ananikomoa na ana lengo la kuona naumia moyoni,Je hii ni sawa alichokifanya???

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekubali kuumia ?
 
Sorry chief, hata hawa pia wana wanajiita wanaume...teh
IMG-20200222-WA0000.jpeg

jaribu kutafuta huyo mtu anayempa taarifa mkeo kuwa ww una chepuka, inawezekana na mwamke hapo mtaani anayekutaka ila ww unazingua. tafuta utakuja kunikumbuka
 
kabla ya kuingia katika hiyo ndoa fikiria vizuri mkuu maana ndoa ya kila mtu kuumia ni hatari
 
Ndoa zimekuwa rahisi sana!

Yaani mbumbumbu kama wewe nawe umefunga ndoa!?
 
Jambo dogo hili umelileta humu si unatafuta tu balaa. % kubwa ya washauri wa ndoa humu ndani ni wakata tamaa na mawakala wa shetani lengo lao sio kujenga bali kubomoa.
Ni vyema hizi ndoa wale waliopevuka kiakili,kifikra na kimaamuzi na wenye hofu ya Mungu ndio wakaingia.
 
Kwa hiyo sisi wengine tusiwowe?
 
Back
Top Bottom