Habari, wana JamiiForums,
Naomba wataalamu wanisaidie, mawazo, natakana kusuplly wi-fi, katika eneo lenyemsongamano mkubwa wa watu, hasa wanafunzi.
Lengo kuu ni biashara, mfumo nataka uwe hivi;
Mtu analipia kiasi kwa njia ya Mpesa, Tigo pesa, ama paypoint, maxmalipo,
akishalipia atapewa user & password, unique, na hiyo password ataitumia kulog in kwenye wifi, yangu, pia itamuunganisha kwa muuda kulingana na kiasi ya pesa alicholipia, eg. 200 for 1 hr, baada ya muda kuisha toka alog in, itakata automatikally na itaanza kuhesabu pale tu atakapokuwa amelog in,
time with money not MB with money.