ZOYA internet
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 202
- 384
UNAONA UNAVYOHANGAIKA KUNUNUA BANDO KILA SIKU? WI-FI ROUTER ZA YAS (TIGO) NDO KITU PEKEEE KINGEKUSAIDIA
Kua na wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki.
1. Ukiwa na wi-fi unaweza kukuza biashara yako. kwasababu wateja watapenda kuja ofisin kwako wakijua kuna wi-fi, pia wewe utakua huru kupost biashara zako mtandaoni ukiwa hauhofii kuishiwa bando.
2. Kuokoa gharama za bando. Ukweli ni kua bando za kawaida zinaumiza sana mana ukipiga hesabu hata kama unatumia gb 1 tu siku ambayo inauzwa 2100 basi kwa mwezi unatumia 63000. Zidisha kwa watu wote mliopo kwenye ofisi, taasisi au nyumbani kwenye familia yako na majirani au watu mbali mbali mtakaoenda kuitumia wifi router hiyo, utakuta hela ni kubwa sana mnayotumia. Kukata hizo cost zote mngechukua wi-fi router ya tigo mana inaunganisha hadivifaa 64 (user), yani watu 64 wote mnatumia bando unlimited
3. Wi-fi router za tigo zina speed kubwa na zina technology ya 5G pia hazisumbui au kukata katikati ya mwezi, speed kuanzia 20mbps hadi 200mbps hivyo utakua na stable internet connection mda wote.
4. Kifaa ni portable yani kinabebeka kirahisi unaweza kuhamisha, mfano kutoka ofisini kwenda nyumbani kwenye gari unaweza kutembea nacho huku wi-fi ikiwa inafanya kazi. Pia kifaa kinasambaza wi-fi eneo kubwa, zaidi ya mita mia.
4. Ukiwa na wi-fi router, utatumia vifaa vingi vyenye kutumia bando kubwa bila shida, mfano computer (pc), smart tv, PlayStation nk. Speed ya mtandao nikubwa unaweza ku stream video ya 4k bila kukwama kwama hata kidogo
UTARATIBU WA MALIPO MARA YA KWANZA.
Mara ya kwanza unalipia kiasi cha sh.250,000, (mwezi unaofuata na kuendelea unalipia laki 1 tu) kiasi hicho ni kwaajili ya kupatiwa kifaa(router) pamoja na bando unlimited lenye speed ya Mbps 100. Pia utapewa offer mwezi unaofuata hautalipia, kwahiyo ukishatoa hiyo 250000 miezi miwili yote utatumia wi-fi router yako bila kulipia, utaanza kulipia mwezi wa tatu na kuendelea. Pia kuna router ndogo za 130,000 bando lake ni unlimited pia. Ukitaka unlimited bando kwenye lain yako tu utumie bila wifi router ni laki moja kwa miez 3
UTARATIBU WA KULIPIA KILA MWEZI MARA YA PILI NA KUENDELEA!
Uzuri wa huduma hii ni kua unaweza kulipia kidogo kidogo kila mwezi hadi umalize, kikubwa ndani ya mwezi ukamilishe kulipia 100k
KUFIKISHIWA KIFAA(DELIVERY)
ukishafanya malipo kupitia menu ya mix by yas, utaniambia sehem ulipo popote Tanzania utatumiwa kifaa bila kutoa gharama za usafiri yani free delivery. Hutajuta kujiunga na huduma hii.
Mawasiliano: 0717700921
Karibu sana uenjoy kua online 24/7 na wi-fi yenye speed!!!

️