Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Wireless Fidelis
kAKA hApO kwENYE rED.....200mtr ni MBALI MNO KUNASA.....we are speaking of abt 75ft equivalent to around 25MTRS.WiFi ni wireless network iliyo kwenye 802.11 standard, kama ambavyo tunaweza kuunganisha computers kwa kutmumia network cable, WiFi inatumika kuunganisha simu, computers na wireless devices nyingine ili kuweza kupata huduma mbalimbali ikiwemo internet
WiFi ili kupata huduma yake ni lazime kuwe na mtoa huduma hiyo jirani kabisa na sehemu ulipo maana inaweza kuunganishwa kwenye simu au computer kwa umbali usiozidi mita 200
Watoa huduma wa WiFi ni migahawa ya internet, hotels nk
Vifaa vinavyotumika kutoa huduma ya WiFi ni wireless routers na WiFi access points
Hope nimekupa mwanga
kAKA hApO kwENYE rED.....200mtr ni MBALI MNO KUNASA.....we are speaking of abt 75ft equivalent to around 25MTRS.
kama una device yeyote fanya majaribio pita kwenye open network yeyote unayoitambua>>>ikikupa signa>>>move away hata mtr 40.....huwezi pata signa>
point of correction......umbali wa signal kufika inategemeana na ukubwa na uwezo wa wireless router.....kwenye nchi zilizoendelea wamefunga router zinazoweza kucover hata eneo kubwa zaidi ya iyo 40 mtrs kwenye miji yao