wi fi dongle

wildfish

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,116
Reaction score
712
Jamani ningependa kufahamu bei ya WI-FI dongle kwa wale wanao fahamu kifaa hiki na wapi naweza kupata.
 
Jamani ningependa kufahamu bei ya WI-FI dongle kwa wale wanao fahamu kifaa hiki na wapi naweza kupata.

Kama unataka kwa ajili ya Decoder/Receiver ninazo nicheki PM
Sina hakika kama zinaweza tumika kwenye computer
 
Kama unataka kwa ajili ya Decoder/Receiver ninazo nicheki PM
Sina hakika kama zinaweza tumika kwenye computer

Nataka Moja kwa ajili ya receiver ntakupata vipi, naomba contact zako ili tufanye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…