Why women live longer than men

Hao wanaume wanaojitambua, kuna wanaume wengine siku hizi legend lege wanategemea wanawake.
 
Ndio maaana kila siku najivunia kuzaliwa na jinsia ya kike..
Nyie fanyeni kazi tuuh mlete tuzipangie matumizi
 
Teh teh teh.

Wanaume tumeumnwa,mateso oo mate so kuhangaika.

Haki ya mama,anayekula hela yangu lazima awe ameriski chochote kama mimi.

Kuna wakati katika harakati za kutafuta maisha nikawatembelea wachimbaji wadogo wa dhahabu kakola(kahama).kwakweli niliyaona ya firauni.kuna kazi ni za kozombie hiwezi fanya ukiwa normal.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…