Why Women Cry

hahaaaaaaaaaaaaaaaa Muhanga nomba nimseee Masaki
ni HE......(kuchombezea kuwa yeye ni he ataongeza mwenyewe)

oook! u know nilitaka kupata more experience kutoka kwake kama angekuwa SHE! hizo siri wanazozimiliki ziwafanye wawe wanalialia ni nini hasaa.

kuna dume mmoja alisema eti "ukiona mwanamke wako analia wakati mkifanya mapenzi kuna mawili: either kakumbuka dume lake la nje linavyomfanyiaga, akikompare na wewe ndio analilia huyo jamaa au unamkera kwa hali yoyote ile katika tendo hilo, ila uwezo wa kukwambia chomoa hana ndio anaishia kulia (hao ni kwa wale wanaotoa machozi) hawa wanaopiga mayowe na miguno nahisi ni either utamu au maumivu....... "
 
mmh no comment hapo Muhanga!!!
 
ila machozi hayatoki chunguza mkuu kelele kweli mpaka majirani wanasikia ila akuna tone la chozi:)

unaishi "kibera" au nyumba isiyo na ceiling board nini? we mautamu yakikolea unalia tu kivyako, hata wakisikia kivyao potelea mbali! raha jipe mwenyewe ndugu
 
... wengine wanalialia wakati wa mambo ya raha lakini cha ajabu huoni tone la chozi...siwaelewi.
wakati wa 'mambo ya raha' mtu hatakiwi kulia eti kwa kutoa machozi!!! huo ni wizi wa mchana au ni maumivu makali ambayo mtu anapata, kinachotakiwa ni miguno na vijikelele vya raha na sio kilio!!!:rolleyes:
 
Muhanga mambo mama? Nimekumisi kweli yani? Ndo nini sasa unachonfanyia?
mambo ni poa tu bro, nipo tu ndugu yangu huwezi amini niko ESAMI shuleni, shule ilinibana ila kidogo napata mda wa kuchungulia na huku pia kupunguza makali ya kitabu... usijali sana hata mie nimekumiss, 'sijakuona' kitambo, mambo vp?
 
Ukiondoa kukumisi. mengine yote shwari. Afu pale Zero pub Kokoto wameziboresha, nlitaka nikutwange na kadhaa kumbe mwenyewe uko mbali. Dah! Imekula kwangu!
 
apo mbona sio mbali hommie hebu fanya the needful bana...mtu hajakuoana ati!
 
mambo ni poa tu bro, nipo tu ndugu yangu huwezi amini niko ESAMI shuleni, shule ilinibana ila kidogo napata mda wa kuchungulia na huku pia kupunguza makali ya kitabu... usijali sana hata mie nimekumiss, 'sijakuona' kitambo, mambo vp?

kumbe na wewe uko ESAMI ..kaza buti mamy hiki kitabu cha uzeeni tunachosoma ni issue sana..mala unawaza mboga hakuna nyumbani ..mala watoto wanadaiwa ada nk nk
 
Ukiondoa kukumisi. mengine yote shwari. Afu pale Zero pub Kokoto wameziboresha, nlitaka nikutwange na kadhaa kumbe mwenyewe uko mbali. Dah! Imekula kwangu!
Good news kama pameboreshwa maana matope yaliziki,with 5, 6 btls unaweka ukaanguka ukavunja miguu na umri huu itakuwa taabu kuunga! lakini bd haijakula kwako karibu namaliza nikirudi tunaendelea na mambo yetu yaleeee! take easy mine!
 
kumbe na wewe uko ESAMI ..kaza buti mamy hiki kitabu cha uzeeni tunachosoma ni issue sana..mala unawaza mboga hakuna nyumbani ..mala watoto wanadaiwa ada nk nk
kweli mammy usipo kaza buti unaweza ukaumbuka, sasa sijui unakagua vipi madaftari ya watoto wakati wewe mwenyewe umefail! kaazi kwelikweli!
 
kumbe na wewe uko ESAMI ..kaza buti mamy hiki kitabu cha uzeeni tunachosoma ni issue sana..mala unawaza mboga hakuna nyumbani ..mala watoto wanadaiwa ada nk nk

Si useme tu na kuumisi utamu wa mtarimbo wa muzee ya nyumba?
 
Good news kama pameboreshwa maana matope yaliziki,with 5, 6 btls unaweka ukaanguka ukavunja miguu na umri huu itakuwa taabu kuunga! lakini bd haijakula kwako karibu namaliza nikirudi tunaendelea na mambo yetu yaleeee! take easy mine!

Hahaha! Wenzio mvua ikitwanga tunahamia Family!
 
Back
Top Bottom