Why Wenger still believe on Giroud

Why Wenger still believe on Giroud

Capogi jr.

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
49
Reaction score
7
Hili ni swali jepesi lakini kwa upande wa pili ni gumu sana.kipindi kabla ya henry hajaondoka arsenal wakiwepo wakina jeans lehman,babtista,clichy,fabregas wakat mdogo mdogo,song pale ilikuwa tishio kweli.

Lakini cha ajacu watu wote hawapo muda huu wenger anazidi kumwamini oliver giroud wakati ki ukweli yule jamaa anapaswa asugue benchi pale. Kwa nini asijalibu kumwamini podolsk mjerumani aliyeshiba akicheze na wajerumani wenzake pale kama ozil na merteserkar wanakuwa wanaelewana.

Hi inatusaidia hata sisi mashabiki kuwa na amani angalia msimu tumeuongoza vizuli sasa itakuaje mwishoni kama hivi tunaanza kuwaachia cheals, mechi ya juzi na man united huyu jamaa ameiuzisha timu kweli hawezi kupiga analuka luka tu na kukimbia. Pale angekuwa mtu kama podolsk tungekuwa tumechukua point zetu 3 na tunaongoza ligi.

Mengine ambayo watu wanamshanga wenger ni kuhusu kalastrom kwanini atamsajili mchezaji majeruhi wakati uwezo wa kuwachukua wakini vivicin walikuwa nao wakina drexuler sasa ramsey ni majeruhi anashindwa kukipanga kikosi vizuli. Lakini kwa washabiki wa ARSENAL tunabaki kujiuliza kwa nini anamwamini sana giroud badala ya podolsk ili sisi tushinde mpaka kuchukua ubingwa wa england????????????
 
Muchukue kombe ili iweje??? Nyie hakuna cha kombe lolote mtakalobeba msimu huu
 
Mpaka dec niliamini mlikuwa mnauwezo mkubwa wa kubeba ndoo msimu huu na kwa kuchagiza hilo niliamin january babu ana sajil mshambuliaj matata sana pale mbele,nilipoona january hajaleta mtu wa maana nikatoa kete yngu kwa arsenal,kuhusu kombe msahau ndoo kama hajaenda london pale chelsea au manchester pale etihad bas huu msimu amini usiamin rodgers anafanya maajabu ngoja tuone.
 
Hili ni swali jepesi lakini kwa upande wa pili ni gumu sana.kipindi kabla ya henry hajaondoka arsenal wakiwepo wakina jeans lehman,babtista,clichy,fabregas wakat mdogo mdogo,song pale ilikuwa tishio kweli.

Lakini cha ajacu watu wote hawapo muda huu wenger anazidi kumwamini oliver giroud wakati ki ukweli yule jamaa anapaswa asugue benchi pale. Kwa nini asijalibu kumwamini podolsk mjerumani aliyeshiba akicheze na wajerumani wenzake pale kama ozil na merteserkar wanakuwa wanaelewana.

Hi inatusaidia hata sisi mashabiki kuwa na amani angalia msimu tumeuongoza vizuli sasa itakuaje mwishoni kama hivi tunaanza kuwaachia cheals, mechi ya juzi na man united huyu jamaa ameiuzisha timu kweli hawezi kupiga analuka luka tu na kukimbia. Pale angekuwa mtu kama podolsk tungekuwa tumechukua point zetu 3 na tunaongoza ligi.

Mengine ambayo watu wanamshanga wenger ni kuhusu kalastrom kwanini atamsajili mchezaji majeruhi wakati uwezo wa kuwachukua wakini vivicin walikuwa nao wakina drexuler sasa ramsey ni majeruhi anashindwa kukipanga kikosi vizuli. Lakini kwa washabiki wa ARSENAL tunabaki kujiuliza kwa nini anamwamini sana giroud badala ya podolsk ili sisi tushinde mpaka kuchukua ubingwa wa england????????????

Mlikuwa mnamtukana Ramsey hapa season iliyopita, na kumshangaa Wenger anavyomuamini...leo mnamuona Ramsey 'mesiya'. Mnashangaa nini sasa anapoamuamini tena na Giroud!? Hamtaki awe 'mesiya' in the coming seasons!?
 
Ni kweli kabisa Giroud ameinyima arsenal ushindi kakosa goli kama 10 za wazi mi si arsenal niko chelsea
 
Muchukue kombe ili iweje??? Nyie hakuna cha kombe lolote mtakalobeba msimu huu
Mkuu haojamaa kama wameshindwa kubeba lile kombe lao la nani mtani jembe (Emirates) basi ni kweli hawaweza chukua EPL. Labda wachukue kombe la chai na vitumbua vitatu.
 
Kweli Wenger anatuangusha mashabiki wa Arsenal,tatizo hasajili wakati timu inahitaji wachezaji muhimu mpaka afungwe ndo ananunua,hatuwezi chukua kombe lolote mwaka huu.
 
Back
Top Bottom