Why was Mkapa disqualified from the Mo Ibrahim Good Governance Award?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,248
Im still wondering why did the Mo Ibrahim Award Committee disqualify HE former President Mkapa from the list?
 
Mi nshasemaga humu jamaa hafai hata apulizwe udi au ubani...watu wakatoa povu....

Madudu yote yameanza kipindi chake...not to say kujiuzia migodi; na kupokea zawadi za vipande vya dhahabu toka makampuni ya madini...


utashangaa kunawatu wanamsifia na kumuita jembe. eti aliinua uchumi kumbe ni mzigo kama mrithiwake.
 
He was a corrupt leader; madudu yote unayoyaona sasa yameanzia enzi za utawala wake.Dont forget that he is the only leader who denied his home-stead/origin.
 
Have heard every Tanzanian brag that had Mkapa continued, Tz would have caught up with Kenya by now. So what is this vitriol against him about.
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo alianza na wengine wanamalizia. tena wamekomba kabisa, ufisadi na rushwa kwa ari zaidi, nguvu zaidi na kazi zaidi!! Na atakayekuwa ataendeleza na kuanzisha vya kwake vya ulaji.
 
msinikumbushe walivyogawana nyumba za serikali, aaaagh!,
J.K.NYERERE was the only and last true & patriotic President.

ila huyo nyerere ndie aliempitisha mkapa na kumpigia kampeni KUWA raisi.
mfumo mzima wa nchi hii ni mbovu, kuanzia ccm mpaka upinzani.

Tunahitaji mabadiliko makubwa sana kama taifa, tilifanya makosa wakati wa kupanda mbegu ya taifa hili kwa kupandikiza mfumo mbovu, bila kuubadili mfumo mzima kuanzia tunavyowaza mpaka tunavyotenda hatuwezi kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom