wanajf ni swal kwamba kwanini baadh ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia cm na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje ndugu nampenda but nachoka kupokea cm..
Mi napenda kupigiwaa hata nikiwa naogaa sasa kama unampenda shida iko wapi unataka ampigie naniiii
Mi mwenzenu sipigiwi na wala silalamiki, cku akipiga naogopa labda kuna jambo baya limetokea
Hahaha kwani PM ina extreme si unajua gharama za kupiga PM zilivyo juu.
Sasa hua mnaonanaje bila simu?? Au kwa sms
Nunua simu ambayo ina touch screen ili vidole visichoke kupokea. Unaweza kununua wireless/ bluetooth headphones ili usichoke kushikilia simu. Ila huyo siku akiachabkuwa anapiga piga simu ujue keshapata asiechoka kupigiwa.
wanaJF ni swali kwamba kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kucontact several times per day yan muda wote anakupigia simu na kwa bahati mbaya sometime hana cha kuongea but atapiga tu... nfanyeje ndugu nampenda but nachoka kupokea simu.
We mwache atakuja kuzikumbua hizo simu kipindi hiko anazisoma nambaviumbe wazito kweli binadamu....
mawasliano ndio njia ya kujua tabia za wenzio wewe unaona kero kupigiwa
wenzio waatamani kupigiwa simu na wapenzi wao wewe hutaki au hujatulia???
Hahaha kwani PM ina extreme si unajua gharama za kupiga PM zilivyo juu.
Mi napenda kupigiwaa hata nikiwa naogaa sasa kama unampenda shida iko wapi unataka ampigie naniiii
Ngoja uingie kwenye ndoa halafu ukae years simu ya mkeo huoni ng'o na akikupigia ujue ana cha kuongea utakachokiona cha maana kama vile 'Mtoto anaumwa.(nukta)', "Mamaako kaja", "Nimpe fundi shilingi ngapi?", "Baba neema hujaacha ada ya neema unategemea niitoe wapi? ", "Usisahau mafuta baba fulani", "Umeme umeisha", "Baba neema lala huko huko kama unaweza kwa sababu sa ivi usiku sana si vizuri kutembea(It doesn't make any difference to her whether u sleep at home or not)". Then uone utakuja kuandika thread gani hapa.