Why UKAWA will loose the 2015 Election


Naona kama naongea na mtabiri wa nyota. Wewe umejuaje kwamba Ukawa hatapata wagombea wapya? Na ni nani aliyekuambia kwaba Zitto na mtambo wa kuzalisha wapiga kura wapya. Inaonekana propaganda imekujaa mpaka machoni na hivyo unatumia njia za hisia kuliko uhalisia.
 
Hahahahhaaaaaaaaa, eti ukawa bila Zitto haitashinda, kwahiyo unataka aingie Ukawa ili aaanze kuwapa siri za Ukawa? Imekula kwenu, halibebeki hilo zigo.
 

Kweli wewe ni simple, unakataa chaguzi za serikali kama sio factor? Wakati hii ndio working force ya GE? Halafu unasema UKAWA haina wapiga kura wapya? Kwa kigezo kipi? Serikali za mitaa ya 2009 na ya 2014 ikoje? Waliopigia kura UKAWA sio wapya? Na tamaa za viongozi wa UKAWA zinahusiana vipi na uchaguzi? Kama hamuna critical analysis bora mkae kimya.
 


UKAWA SIO CHAMA CHA SIASA: ( Umoja wa KAtiba ya Wananchi),,lengo lao ni kupinga katiba pendekezwa,,sio kumtoa CCM madarakani:

RUZUKU za kampeni siku zote uleta matatizo kwenye Upinzani Tanzania. Hizo ndo tamaa ninazozizungumzia mimi.
 

Simple It is too low. The biggest problem you have, is to believe in Zitto only.
Political populality of Zitto continued to go down as far as Zitto dissociated from CHADEMA. CHADEMA now is the Best political platform in Tanzania mainland as the same as CUF in Zanzibar. Even Zitto knew that.

Zitto is nothing to UKAWA thus why UKAWA doesnot pay any political attention to him. In short Zitto has lost the regitimacy before the General Election, he doesnot sure which constituency he will win when he will compete in this year General election. He desperates.
 
Last edited by a moderator:

You must be naive enough to compare Kenya's political environment to Tanzania's one. Kenya's politics is inherently based on tribalism and regionalism,that's where Ruto's political force originated, Zitto?I can't say the same about him.
 
Your so simple,your analysis is so simple as your ID
 

Ndugu sijakuelewa;
- I don,t believe in ZZK,,I only believe in God and my mother ONLY. However, I don,t doubt ability and charisma of ZZK to explain his points to common mwananchi.
- As of his popularity,,I am not concerned🙁 His SAGA with Chadema surely have made him more popular(negatively or positively, I am not sure: we will see).
-UKAWA with ZZK is more stronger than without him, even ACT is opposing the new katiba; as far as I am concerned, UKAWA sio chama cha siasa,
 
Tatizo Chadema hawapendi kusikia wasiopenda kuyasikia hasa yenye ukweli kuhusu mwenendo wa mbio zao za magogoni. Zitto kabla ya Escrow si Zitto baada ya Escrow. October mtachoma mahindi kwa tochi
 
You must be naive enough to compare Kenya's political environment to Tanzania's one. Kenya's politics is inherently based on tribalism and regionalism,that's where Ruto's political force originated, Zitto?I can't say the same about him.

Tanzania politics is based on what????

Where ZZK political forces came from???

Please explain more ndugu,,tunajifunza tu hapa
 
UKAWA SIO CHAMA CHA SIASA: ( Umoja wa KAtiba ya Wananchi),,lengo lao ni kupinga katiba pendekezwa,,sio kumtoa CCM madarakani:

RUZUKU za kampeni siku zote uleta matatizo kwenye Upinzani Tanzania. Hizo ndo tamaa ninazozizungumzia mimi.

waongea unjiiiinga kweli
 
Tatizo Chadema hawapendi kusikia wasiopenda kuyasikia hasa yenye ukweli kuhusu mwenendo wa mbio zao za magogoni. Zitto kabla ya Escrow si Zitto baada ya Escrow. October mtachoma mahindi kwa tochi

akili ndogo haiwezi kuishauri akili ndogoooo,thats why mkuu
 
Nielimishe niondoe ujinga wangu ndugu: UKAWA ni nini? Kwanini iliundwa?

Nchi hii kuna wajinga wengi? Bora mngekuwa hata mnakaririshwa vitu vya maana basi, kuliko UJINGA.

BTW have you ever heard ODM (Orange Democratic Movement)

Madhumuni ya mwanzo ya ODM yalikuwa nini?

TIPS CHUNGWA NA NDIZI
 

Kwa upande wangu...
1. Takribani wapiga kura milioni 1 wa mwaka 2010 hawatapiga kura mwaka huu
2. Takribani wapiga kura milioni 15 watapiga kura mwaka huu, milioni 8 wakiwa "wapya"..
3. Takribani wapiga kura milioni 1 waliopigia CCM mwaka 2010 hawataipigia tena mwaka huu (hii itashuhudiwa zaidi Arusha, Manyara, Mtwara, Lindi, Songea, Morogoro, Singida na Tabora)
4. Takribani wapiga kura laki 2 walioipigia CDM kura mwaka 2010 hawataipigia mwaka huu (Kigoma, Rukwa, Katavi)
5. ACT haitaweza kupata zaidi ya kura laki 2 kwenye uraisi kwa sababu haitakuwa na mgombea mwenye nguvu, na hata yenyewe haitakuwa na nguvu za kufanya kampeni

Halafu
1. Asilimia 50 ya wapiga kura hadi sasa wameshaamua chama watakachopigia kura bila kujali mgombea ni nani
2. Asilimia 25 ya wapiga kura watapiga kura kwa kuangalia mgombea ni nani
3. Kati ya hao asilimia 25, asilimia 10 ni watiifu wa Lowassa, kama hatapitishwa, asilimia 8 kati yao watapigia vyama vingine kwa hasira
4. Asilimia 25 ya wapiga kura wataamua kutokana na upepo na ushawishi wa kampeni
5. CCM kwa kutumia tume ya uchaguzi na dola, watalazimisha asilimia 5 ya kura kwao...

Kazi bado ni ngumu...
 
Tatizo Chadema hawapendi kusikia wasiopenda kuyasikia hasa yenye ukweli kuhusu mwenendo wa mbio zao za magogoni. Zitto kabla ya Escrow si Zitto baada ya Escrow. October mtachoma mahindi kwa tochi

Mkuu nakubaliana na wewe,chadema are not risk conscious,they are over. Confidence hasa baada ya results za serikali za mitaa,lakini in reality bado safari ni ngumu sana kwao na viongozi wa ukawa hili wanalijua, kitendo cha ku ignore kura za kigoma ni mistake kubwa sana ambayo wataijutia after october.Ccm wana permanent voters ndo maana hawasumbuki even without Lowasa bado wana uhakika wa kushinda.
 
Mimi ni mfuasi wa Tanzania: Muumini wa haki na demokrasia. Tafadhari fanya analysis yako iliyo deep ili nijifunze kutoka kwako.
Kuna sheria ya matumizi ya statistics imepitishwa juzi.........Matumizi ya data zisizo rasmi ni makosa ya jinai(lazima ziwe zimepitishwa na TBS). Ukipatikana na hatia utakwenda segerea kwa 2 years.

Acha ndoto za mchana.
 

Zitto is a good guy, but i wouldnt trust him to lead this country. He is too volatile a man and no offence he is a calculating two-face like the rest. He is one of those guys that need to be under someone's supervision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…