why tigo kila siku?

why tigo kila siku?

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
96
mnakata network kila siku kwan nyie mna tatizo au utofaut gan na mitandao mingine?????? we are tired with u Tigo
 
Frankly speaking, wanaboa kwa kiwango ambacho hakielezeki. Very boring!
 
mnakata network kila siku kwan nyie mna tatizo au utofaut gan na mitandao mingine?????? we are tired with u Tigo
Ndiyo uzuri wa soko huria....ukiwachoka unahamia mtandao mwingine...rahisi sana..tulalamike kwa mambo ambayo hatuna mbadala.....Tanesco, Dawasco nk.......
 
Ukiona mtu analalamikia mtandao wa tigo ujue huyo ni mkazi wa dar tu mikoani huwezi kumkuta mtu analalamika kuhusu tigo
 
Hamieni wote ttcl mobile kama mimi!

Yani hawa ndio usiseme kabisa mkuu. Mimi leo nimekwenda kwao,nilihitaji huduma ya nduki.Jibu nililopata,kama isingekuwa mvua imenyesha,ningekaa chini nikachekaaa mpaka basi. Dada niliyemkuta mapokezi,mbali na kuniambia kwamba ile huduma ni kwa wale wenye simu za mezani tu,lakini alinishauri nisitumie huduma hiyo. Amesema mwanzo ilikuwa iko fresh,lakini kwa sasa wateja wengi wanalalamika sana kutokana na speed kudrop kwa kasi ya ajabu.

Mimi nipo Moshi nimeishaachana na huduma yao,coz saa inaisha sijadownload hata 100MB,huu si wizi kabisa! Wanasema malipo kwa saa halafu wanabana speed,mi hata sitaki kuwasikia kabisa. Labda nyie mlio mikoa mingine mnapata speed nzuri,ila huku nilipo ni michosho tu.
 
Ukiona mtu analalamikia mtandao wa tigo ujue huyo ni mkazi wa dar tu mikoani huwezi kumkuta mtu analalamika kuhusu tigo

Bora hata nyie ni Network sisi huku Bara wanakata kila siku muziki uiwapigia zile No zao za 15050 ONDOA kesho wanafyeka tena km mnabisha wekeni hata 500/ usiku wa saa 5 alfajiri wanafyeka 100/ wakiikosa 500/ wanapitiliza
ujanja ni kuweka 500/ asubuhi halafu Extrem 450/ mpaka wajirekebishe
 
tigo imejawa na substandard kila kitu

kuanzia mitambo, staffs hadi chochote ukijuacho

tunegkua na mamlaka shupavu, tigo ingefungiwa kutoa huduma
 
Yani hawa ndio usiseme kabisa mkuu. Mimi leo nimekwenda kwao,nilihitaji huduma ya nduki.Jibu nililopata,kama isingekuwa mvua imenyesha,ningekaa chini nikachekaaa mpaka basi. Dada niliyemkuta mapokezi,mbali na kuniambia kwamba ile huduma ni kwa wale wenye simu za mezani tu,lakini alinishauri nisitumie huduma hiyo. Amesema mwanzo ilikuwa iko fresh,lakini kwa sasa wateja wengi wanalalamika sana kutokana na speed kudrop kwa kasi ya ajabu.

Mimi nipo Moshi nimeishaachana na huduma yao,coz saa inaisha sijadownload hata 100MB,huu si wizi kabisa! Wanasema malipo kwa saa halafu wanabana speed,mi hata sitaki kuwasikia kabisa. Labda nyie mlio mikoa mingine mnapata speed nzuri,ila huku nilipo ni michosho tu.

Umenifurahisha sana mkuu
 
...Huyo Bidada wakimjua tu, Hana Kazi. Alichofana ni Sawa na Kung'ata Mkono Unaomlisha!
 
Back
Top Bottom