Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 24, 2014 Thread starter #2 Hana wazazi? Hana ndugu? Hana jamii....!!!? Hana kitu hajui apateje! Yupo mpweke na pekeyake...! Tunaposhiba tunawakumbuka hawa? Ukisema una matatizo huyu naye atasemaje? Tumshukuru Mungu hata kwa kile kidogo tulichonacho
Hana wazazi? Hana ndugu? Hana jamii....!!!? Hana kitu hajui apateje! Yupo mpweke na pekeyake...! Tunaposhiba tunawakumbuka hawa? Ukisema una matatizo huyu naye atasemaje? Tumshukuru Mungu hata kwa kile kidogo tulichonacho
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,285 Reaction score 61,267 Oct 24, 2014 #3 Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni
Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 24, 2014 Thread starter #4 picchu said: Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni Click to expand... Mmh picchu kwa hali hiyo ...sijui!!!!? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
picchu said: Mungu mkubwa utakuta hapo kameshiba mpaka kamelala ila maisha yanatofautiana Ana wazazi wake, na utakuta nyumba iko pembeni Click to expand... Mmh picchu kwa hali hiyo ...sijui!!!!?
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,285 Reaction score 61,267 Oct 24, 2014 #5 mshana jr said: Mmh picchu kwa hali hiyo ...sijui!!!!? Click to expand... Inasikitisha kwa kweli Last edited by a moderator: Jan 4, 2016